white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,312
- 13,277
kama ni suala la uwekezaji basi tz tumeshinda!walimu wa shule moja ya awali(Grace) inayomilikiwa na raia kutoka korea,iliyopo kigamboni wanalalamikia utaratibu wa shule hiyo kutumia utamaduni wa korea wa kutoruhusiwa kuingia darasani ukiwa umevaa viatu,iwe kwa mwalimu au mwanafunzi!kweli tz kila kona tunapatikana!na mishahara yao ina angalia umeletwa na nani na cio una elimu gani!hapo patamu.