Ni Mapinduzi Daima au Serikali ya kidemokrasia?

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
Serikali ya mseto huko Zanzibar ilichaguliwa kidemokrasi na wananchi na kumbukumbu zinaonyesha mapinduzi yalifanywa na kundi la watu miongoni mwa wanachama wa ASP mwaka 1964! sasa inakuaje bado Zanzibar wanasherehekea mapinduzi ilhali kuna serikali iliyochaguliwa kidemokrasia?

Nigeria na nchi nyingi za kiafrika kulifanyika mapinduzi kibao lakini hatusikii sherehe za mapinduzi kama ilivyo Zanzibar na kauli yao ya mapinduzi daima!

nauliza huu ni uungwana? kuenzi mapinduzi ya mwaka 1964 yaliyomwaga damu nyingi za wananchi ktk karne hii ya 21 ya kidemokrasia?
Jee, huu ni uungwana?
 
Back
Top Bottom