Ni maneno gani ya ajabu ushawahi kuyasikia kwa motivational speaker?

Biashara inaendeleaje
nasikitika kusema hakuna kilichoendelea,maana ilibidi niwakope mtaji pale pale 5mln,nikaanza kusikia viswahili kibao.

nikabaki nasikitika kuukosa utajiri,wakati natafakari nini nifanye,akili ikarudi.wacha niulize kwa watu.
nilichoambiwa ilbidi pozi liniishe,maana nilisifiwa kwa kuwakopa wao mtaji kwamba nimetumia akili,kumbe mwenzao ni sababu sikuwa na hela ndio maana wakanikoss.
 
Mi nliwahi kuitwa na wauza aloevera eti semina, pambafff sana wale watu....
 
Mi nliwahi kuitwa na wauza aloevera eti semina, pambafff sana wale watu....
unakuta kuna jamaa wengine kibao wamejazwa huko ndani wanaimbishwa tu.

yaani siku namuona sabaya anambananisha yule jamaa wa qnet,nikabaki nacheka sana,hawa jamaa wana dhambi mno.
 
Wanasema " kama kipato chako ni elfu 2 kwa siku, basi weka 500,iliyobaki fanya matumizi baada ya mwaka utakuwana pesa nyingi sana.." unachojiuliza ni kwamba "HAPO HAUNA HATA MCHEPUKO WA KUHONGA KAVOCHA HIVI"
 
Mimi nlianza na kumuuguza dada yangu mgonjwa. Sasa hivi nina kiduka cha madawa ye yaliyokuwa yanabaki au hatumii.
 
Back
Top Bottom