Ni maneno gani matamu unaweza kumwambia mpenzi wako yakamfanya asisimuke na kukupenda?

Pesa ina matumizi mengi mkuu! I don't drink so itakua inaenda kwenye matumizi mengine ya kawaida tu ila lazima na yeye nimnunulie kizawadi kidogo hapo hata kachocolate tuu😉
Heee sasa mm nimekugea laki 9 ya zawadi, Hlf baada ya hapo zawadi unayowaza ww kunipa ukipata hela nyingi ni chocolate aisee, hiyo zawadi Ya chochote naikataaa, Kaa nayo bora usinipe, wanawake cjui mkoje financial services
 
Hata kama Usiku wa manane,"Umeshakula Baby!!
Nadhani mnajua kitachofuata
 
Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi.

Kama unayo hebu tupia maneno matamu ya kumsisimuaa mpenzi wako kiasi kwamba akasisimka na kukupenda hatari.

images

Mfire
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom