ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,121
- 5,332
Hakuna salamu.
Mi nauliza tu mara nyingi ninaposikia habari za kutokea majanga ya vimbunga(upepo mkali), huwa yanatajwa kwa majina, mfano: kimbunga Nina(1975 china), kimbunga Katrina(2005 US), kimbunga Ike(2008 US), kimbunga Irene(2011 US), kimbunga Sandy(2012), kimbunga Haiyan (ufilipino), kimbunga Cycline nargis/Nynmar(2008 Burma) na vingine vingi.
Pia vingine huwa vina majina kama ya watu mafano Sandy, Ike, Allison, Irene nk.
Swali langu ni je, mamlaka gani katika nchi huwa inahusika na kutia hayo majina ya vimbunga, au kuna kanuni gani wanazingatia?
Au hayo ni majina yenye maana kitaalamu kwa watu wa mambo ya hali ya hewa?