Ni mambo gani ya kuzingatia kwa mtu anayeenda kukaa Marekani?

Hi guys

Nina kasafari huko new york na baadae L.A California but next months huko nina accuracy kwa asilimia kubwa tyuu

Sasa jaman ety ni mambo gn ambayo natakiwa nizngatie huko yaani nini na nn nisifanyeee maana he e nikaona nisimuulze huyo kuuhu hili maana ataniona mshambaa

Mm sio mshamba wa safari za abroad ila marekani sijawah enda jomonindo maana naulzia tyu nijue

Siend kukaa sana wala hata mwez sitomaliza

Uwiiii jomoni Ni mambo gani ya kuzingatia kwa mtu anayeenda marekani?
Relax have fun with friends ila ukumbuke watu wanabadilika .kama mtu alikuwa mpole unaweza kukuta chizi kabisa na mlokole mtu wa na disko na uswahili ,mwingine alikuwa hajiwezi kishule ila maisha super amefanikiwa.usisisikilize maneno ya watu .usi judge mtu mpaka umwone mwenyewe .ukiona mtu anasemwa vibaya huku USA uhusiano huyo mtu uhusiano kafanikiwa amewazidi.Ni Hilo tu
 
Back
Top Bottom