Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewaza hivyo hivyoNatabili ndoa yako haitadumu maana umeolewa na mwanaume asie kuridhisha kihisia. Kilichofanya umpende kishaanza kukubore!
JAMBO LA MSINGI ZAIDI NI MIKITO MKUU,MENGINE NI NYONGEZA TU😂😂😂😂
Inakuwa mtihani kwa sababu mlishaonja kabla ya kuingia ndani ya ndoa so hapo kila mtu kamchoka mwenzake kabla hata two weeks hazijaisha anyways no offence.Hello guys!
Hivi ni mambo gani yanaweza kufanywa na wenza wakiwa fungate ili wasiwe bored? Maana hii ya kunyanduana tuuu kwa two weeks naona kabisa ni mtihani.
Aiseeee mkuu haufai kuwa daktari 😂Natabili ndoa yako haitadumu maana umeolewa na mwanaume asie kuridhisha kihisia. Kilichofanya umpende kishaanza kukubore!
Mambo mengine ni anasa tu.
Kabisa na huo ndiyo ukweliNimewaza hivyo hivyo
Nafaa sana mkuu ndo maana nimeliona hili, huyu hajaomba ushauri bali anaeleza anachokutana nacho na hakipendi wakati ndoa ndo iko kwenye 0 distance je ikifika hata 5distance itakuwaje.Aiseeee mkuu haufai kuwa daktari