Ni makampuni gani ya ICT yanakuwa outsourced sana hapa tanzania?

aabb

Senior Member
Jan 2, 2011
105
19
Wana JF, napenda kufahamu ni makampuni gani ya ICT yanakuwa outsourced sana hapa tanzania. Kwa yeyote anayefahamu naomba anijulishe.
 
Sikia kaka aabb nkuambie jambo jf ina member zaid ya elfu 60 kwa sasa walio online ni kama elfu 10 tu(currently).Na wote hao syo wote wana ufahamu na masuala au misamiati ya IT.ukisema outsource company kwa miye IT mwenzio nakuelewa ila kwa wengne hakuelewi au wanakuelewa kwa minajiri mingine.Wafafanulie watu wakuelewe na uweke mawasiliano yako ikibidi(email au namba ya simu).Jf inatembelewa na watu weng sana na weng wao wanajua mambo ila baadhi watashndwa kukujibu kwa kuwa syo members.je huon kwa kushndwa kufanya nayokuambia utajiwekea ukuta?Fikiria mkuu.Ni ushaur tu.Hebu jaribu kuwachek infosys wapo pande za kinondon makaburin,kituo cha basi mwemben unateremka mpaka upate mtaa wa mwindu lane karibu na ofs za WFP.Ukifka hapo utapaona.Nawasilisha
 
Asante sana mkuu kwa kunikumbusha. NI KWAMBA MAKAMPUNI AMBAYO HUKODIWA NA MAKAMPUNI MENGINE ILI YAFANYE KAZI ZA ICT (RADIO, SIMU, INTANETI, COMPUTER) KWA MKATABA WA MUDA FULANI. Mfano kipindi cha boda to boda cha tbc mwishoni walikuwa wanaandika kuwa kimeandaliwa na kamuni moja ya kutayarisha muziki (.....). hii kampuni ndiyo ilikuwa outsourced na tbc.
Nafikiri kwa kiasi fulani mmenipata.
Nawasilisha.
 
makampuni ya ICT bongo yapo mengi sana,kila manager aliyesoma IT anakampuni mfukoni na inafanya kazi kama hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom