Ni maeneo gani mazuri nataka kuvunja jungu kuukaribisha mwezi

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,202
2,035
Ijumaa Karim wa ndugu,kwa waislam wote duniani tunatarajia kesho kuanza mfungo mtukufu wa ramadhani hivyo hatuna budi kusamehe waliotukosea na kusafisha nyoyo zetu.Lakini kama ilivyo ada kwa maeneo mbalimbali duniani huutumia ule usiku wa kuamkia ramadhani kuacha starehe.Ndugu zangu naomba mnitajie maeneo mazuri ya kuvunja jungu na chepuko langu kwa hapa dar
Karibuni kwa michango yenu...
 
Siyo taratibu za dini yetu kufanya hivyo unavyotaka kufanya.Kwa nini kama kweli weye ni Muislamu uidhalilishe dini ya ALLAH (SWT) Kinywa huponza kwa hiyo chukuwa tahadhari na kwa vile unajuwa kutumia JF sina shaka utakuwa unajuwa nini cha kufanya baada ya kuweka uzi wako hapa.
 
Leo katafune mara ya mwisho, utayamiss kweli haya mambo, mwenyewe leo nagegeda toto la kislamu moto moto
 
Mimi sio muislam ila nilisikia kuvunja jungu kiimani ni mbaya..embu waislam nipeni ufafanuzi
 
Back
Top Bottom