Ni maeneo gani kuna Temple ya Meditation kwa huku Mwanza?

Machepele

JF-Expert Member
Jun 28, 2019
288
418
Wakuu, heshima yenu.

Ninaomba msaada wa kufahamu sehemu gani zinaweza kupata temple maalum inayotoa na kufundisha kuhusu utamaduni wa kufanya meditation, kwa Mwanza.

Lengo ikiwa ni kufaham vyema utamaduni huu kwa utaratibu na kanuni zake.

Lakini kama kuna mtu anaweza kufanya online training (Online mentoring) ya haya mambo nitashukuru.

Karibuni - uzi huko.
 
Back
Top Bottom