KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,457
- 8,295
Wadau nimekuwa nikisikia huko nakule kuhusu CHADEMA KUGOMEA RAIS AKIINGIA BUNGENI!Mimi nauliza nini madhara yake wakifanya hivyo??Je nini tija yake wakifanya hivyo??Na kuna faida gani kwa wapiga kura wao waliowachagua majimboni endapo hawaitambui Serikali ya Rais J.Kikwete??Nini ushauri wako kwa wabunge wa CHADEMA??