Ni mabadiliko gani tunayoyahitaji watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mabadiliko gani tunayoyahitaji watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jun 19, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana dhana ya mabadiliko inavyohubiriwa na makundi mbali mbali ( wanasiasa, wanazuoni, wana harakati na wengine wengi).

  Je ni aina gani ya mabadiliko tunayoyahitaji watanzania?. Je ni mabadiliko ya tabia na mienendo ya viongozi wetu? (kuwa wazalendo, kuacha ubinafsi, n.k) au mabadiliko ya kisiasa(kutoka chama kimoja kwenda kingine)?

  Wazo langu: unaweza kubadili Chama lakini fikra za viongozi wake zikabaki kuwa ni zile zisizojali uzalendo, utu na ubinadamu. Kuwa na mawazo ya mabadiliko ya aina hii yanadhihirisha wazi kuwa fikra zetu zinachezewa na wanasiasa na daima hatutokuwa na mabadiliko yoyote.

  Mimi naamini kitendo cha viongozi waaandamizi kuchukua hatua za kuwajibika na kuwajibishwa ni mabadiliko ya kifikra na ni mabadiliko sahihi tunayo yahitaji. Aidha kitendo cha baadhi ya watu/wanasiasa kupinga kila aina ya hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali katika kufikia mabadiliko ya kifikra, na kuona kuwa kubadili mfumo wa uongozi ndiyo suluhisho la matatizo ni kutaka watanzania wawe na mawazo mgando kuwa msingi wa matatizo yao ni chama na syo watu ndani ya chama , jambo ambalo ni hatari kwa uchumi,amani na mshikamano wa watanzania kwa vile mabadiliko hayo yanaweza kusababisha wananchi wakabweteka kwa sababu tu eti yamefanyika mabadiliko ya kisiasa hata kama hakuna kitu ambacho kitakuwa kikifanyika.
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nani aliyekwambia maana ya kuwajibishwa ni kusimamishwa uongozi tu,wakati ni mwizi????
  kana ni hivyo na wezi wa mtaani wawajibishwe kwa kunyang'anywa vitendea kazi kana mitutu,visu mapanga etc.wewe unaniambia umemwajibisha mtu wakati vyote alivyo viiba anakula navyo bata.zaidi ya hayo anafungua makampuni yasiyolipa kodi,usitufumbe macho bana,.kila fisadi eti anaundiwa kamati kupeleezwa wakati kilichopotea kinaoneka.basi na wezi wa kuku waundiwe tume.
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mh!kweli we kilaza.watanzania wanataka mabadiliko ya mfumo mzima wa utawala na viongozi,ccm imeshindwa ilo usiitetee hapa unajificha ficha tu kwa mawazo ya kupuuzi bila kuona mfumo ulivyo choka na unavyo waumiza wadanganyika
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Unaendeleaje hapo kwenye ICU ya Mirembe?! kama uwezo wa kufikiri wa wana magamba ndio umefikia hapo basi umma wa watanzania unahitaji kuwapeleka kuzimu sasa hivi kwa sababu hakuna umaskini mbaya zaidi duniani kama umaskini wa mawazo!
   
Loading...