Ni ma celebrity gani wa bongo wanaomiliki nyumba? Majina

he he hee,umeona eeh?lakini shosti haya mazoezi 110 itabidi tufwatane chemba unifafanulie kwa vitendo
Kwani Babu wewe ni she,halafu una kiuno kigumu,niPM ntakuelekeza kukilainisha chawa lainiiiiiiiiiiiiii,ila kama he usijaribu maana utanogewa halafu utajikuta wayakata hata barabarani,halafu hadithi itasimuliwa vingine!!!
 
mi ninayemjua anamiliki nyumba na inayotoka na jasho lake mwenyewe ni ladyjaydee,sijui ana ngapi ila naijua ile ya kimara.
(unaweza kumiliki nyumba lakini sio ya jasho lako)

Elezea vizuri hapo; una maana gani samahani sana
 
1. Mbowe (Tanzania, aliyorithi kwa babake na nyingine Uingereza, alienda kuinunuwa wakati babaake yuko hai na alikuwa na demu wa kiunguja pale London 1988 or 1989) Jiulize pesa za kununulia nyumba uingereza babake alizipata wapi nae alikuwa mtumishi wa serikali?
2. Mtikila
3. Slaa, (Nyumba mbili moja halali moja haramu)
4. Mnyika (soon, kisha anza kujenga baada ya kuukwaa ubunge!

Nyooo !
 
Back
Top Bottom