Ni Lowasa ama Waziri Mkuu?

Mercy

Member
Aug 22, 2006
6
0
Rejea Kashafa ya Richadmond dhidi ya Lowasa (Aliyekuwa Waziri Mkuu).

Is it my understanding kwamba Lowasa ameachia madaraka ya Uwaziri mkuu kwa sababu kashfa ya Richadmonds inamgusa yeye kaka yeye (Lowasa) ama kwa vile inagusa Cheo/Ofisi ya Waziri Mkuu ambayo yeye alikuwa akiiongoza kwa kipindi hicho?

Na kama ni yeye kaka yeye Lowasa, mbona basi bado anaendelea kuwa Mbunge wa Monduli ama kwa vile kasha hii haikugusa Ofisi za Mbunge wa Monduli ambaye ni yeye?

Ama kumbe inawezekana ukawa mchafu huku na ukawa msafi sehemu ingine ndani ya serikali moja?

Napata kizungumkuti hapo........., Shule yangu ndogo nisaidieni jamani, nilikimbia umande.
 
Ni Lowasa aliyetumia madaraka yake kama Mbunge wa kuchaguliwa ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuhuri ya Muungano, kwa faida ya Lowasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom