Ni lipi jina sahihi kwa kundi hili ama ni watu tofauti?

mkwapuaji

Member
Jan 6, 2012
49
20
Wapo watu wangu wanaowaita hawa wahisani, wengine wakiwaita washika dau wa maendeleo, wakoloni au hata wapo wanawaita mabeberu.
Ni lipi jina sahihi kwa kundi hili ama ni watu tofauti?
 
unapowataja uwe na rejea pia, mfano...wanapotoa maoni juu ya utawala bora ni Mabeberu, wanapopongeza juhudi za maendeleo ni wabia wetu wa maendeleo na wanapotoa pesa za misaada ama maendeleo ni wahisani.
Mkuu the lost umeeleweka vyema but mbona Mabeberu?Kama wanapongeza si ilibidi waitwe jina zuri kidogo?

Ninini maana ya beberu siyo kwamba watu/kundi lisilofaa?pana ukakasi sana kulitamka hili neno huku ukimsifia mtu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
unapowataja uwe na rejea pia, mfano...wanapotoa maoni juu ya utawala bora ni Mabeberu, wanapopongeza juhudi za maendeleo ni wabia wetu wa maendeleo na wanapotoa pesa za misaada ama maendeleo ni wahisani.
Mbona unauliza na kujibu wewe mwenyewe, kwa I'D mbili tofauti.

Halafu ndugai akiwapasha mnasema muongo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakoloni tu, Ni wakoloni tuuuu hata iweje udau gani washirika gani, Maendeleo unajiletea mwenyewe
 
Mbona unauliza na kujibu wewe mwenyewe, kwa I'D mbili tofauti.

Halafu ndugai akiwapasha mnasema muongo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimesoma ujumbe wako kisha nikatafakari nikatambua wewe ni mtu wa namna gani..............
Elewa kuwa sio kila anayetamka namba ni mwanamahesabu pengie anatamka ili kujiridhisha kwamba naye anaelewa kusoma namba vyema.
 
Back
Top Bottom