Ni lipi eneo sahihi la ku locate biashara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni lipi eneo sahihi la ku locate biashara?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Mar 7, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  BUSINESS LOCATION  MOJA YA SABABU ZA BIASHARA NDOGO NYINGI KUFA NI SABABU YA LOCATION YA BIASHARA, MARA NYINGI WAJASIRIAMALI WAMEKUWA WAKICHAGUA MAENEO AMBAYO SIYO HUWA SABABIBISHIA BIASHARA ZAO KUFA MAPEMA

  Baadhi ya factor za kukosinder unapo tafuta eneo zuri la biashara yako

  1. upatikananji wa malighafi-


  Ni lazima ujizihirishe kwamba ulipo weka ofisi yako malighafi zinapatikana kwa wingi au pako eneo ambalo si shida kupata malighafi ingawa kuna hii ya malighafi haiply kwa baadhi ya biashara  1. Karubu na soko au wanunuzi wako


  Mara nyingi mtu huanzisha biashara yake na kulocate mahali ambapo ni majirani tu ndo wanao jua kuna baishara hapa, au unaweka mahali ambapo hakuna wateja wa kutosha na saazingine wateja wako wanaona either ni mbali sana au kuna usumbufu wa kufika hapo,

  Nahapa lazima kwanza ujiulize kama wateja wako ni wa mwisho kutumia au na wao wanaenda kuuza, AU unafungua ofisi halafu una ashumu kwamba wateja watakuja tu,  1. Miundo mbinu


  Hili nalo huchangia kwa kiasi kikubwa sana kudetermine location ya biashara yako, hapa nazungumzia, USALAMA, UPATIKANAJI WA UMEME, MAJI, NA BARABARA,


  1. Population ya eneo husika


  Hili linamata kulinagana na aina ya biashara unayo ifanya
  Mfano: Hotel lazima iwe mahali ambapo pako bise sana na maofisi na viwnda kiasi kwamba wale walioko hapo hawawezi kwenda kula nyumbani kwao na kurudi so ni lazima wale hotelini

  Ukiweka Hoteli mtaani mara nyingi inakuwa si sahihi kwa sababu wengi wanakula nyumbani kwao ambapo ni karibu na hoteli yako ilipo

  Stationary- Lazima iwe mitaa mabayo kuna shule na offisi nyingi sana  1. Saikolojia ya wanaeneo husika/Mtazamo wao/Psychographics


  Mindset ya wateja nayo ni factor ya kukonsider sana, Hapa ni kwamba kuna baadhi ya maeneo kuna weza kukawa na kabila fulani so wewe wa kabila jingine ukifungua hapo biashara yako wanakuwa hawanunui, Au unakuta kuna Dini fulani eneo hili wewe mkristo/mwislamu ikifungua biashara yako hapo wanakuwa wanaichunia  Au unaenda kufungua kibanda cha kuonyeshea picha za ngono maneo ambayo watu wake wengi ni watu wa dini kari sana.

  1. Kuweka biashara kwenye maeneo ya Export processing zone


  Haya maeneo mara nyingi yana faida sana kwa wafanya biashara wadogo hasa kama wewe unadili na ku export nje bidhaa zako, kwa nini?
  Inasaidia kupunguza transportation cost
  Inasaidia kurahisisha inspection ya biadhaa zako na kazalika  1. Ghalama . Mfano, Rent, Taxes na bili zingine


  Ukiwa kama small business man lazima uangalie hivi vitu, kwa sababu kuba baadhi ya maeneo ghalama za rent na kazilika ziko juu kiasi kwamba itakuwia vigumu kwa wewe kufanya biashara hapo na kumake profit

  1. Sehemu ambayo ni Convenience


  Je panaendeka? Je kuna parking kwa ajili ya wateja wako?

  1. Trafiki jam


  Hapa kuna baadhi ya biashara zinapenda mahali penye trafik jam kubwa sana, mfano migahawa ya chakula inapenda hivi vitu, ila kwa ishu ya biashara zingine inakuwa ni vigumu kwa wateja wako kufika kwa wakati au hata wafanya kazi wako kufika kwa wakati kazini


  1. Prestage


  Kuna baadhi ya wateja wanapenda sana hiki kitu, Mfano ukimwambia mteja wako ofisi yako iko uswazi anaweza asije kwa sababu ataona anajizalilisha sana,

  Na mwingine ukimwambia ofisi yako iko mitaa ya Post hapo ataona ndo sehemu yenyewe, so unaweza weka biashara yako mahali fulani wateja wakawa wanaogopo kufika hapo kwa kuona kwamba wanajishushia heshima na hadhi yao inashuka

  1. Competitors


  Kuna baashi ya biashara zinafeva sana kuwa jirani na washindani wako, mfano biashara za maduka ya rejareja, inalipa sana kuwa jirani na washindani wako kwa sababu mteja akishindwa bei pale atatembea mita chache atakufikia wewe.


  Hata Gest House- Ukikuta hii imejaa basi hutatembea sana kabla ya kukuta nyingine  ILA KABLA YA HAPO KUNA MASWALI YA KUJIULIZA KABLYA YA KUTAFUTA ENEO

  1. Je eneo linafaa kwa aina ya biashara yako------------?


  2. Je wafanyakazi wanapatikna maeneo hayo?  3. Soko je?  4. Je kuna washindani wangu maeneo husika?  5. Je wasambazaji wa malighafi wanapatikana maeneo hayo?  6. Usafili wa uma je? Unapatikana kwa urahisi?


  7. Ghalama za kusafirisha bidhaa zangu vipi? Ziko juu? Au ziko chini?  8. Je ghalama za kuweka ofisi hapa ziko chini compare na maeneo mengine?
  9. Je parking inapatikana kwa urahisi? Au hakuna parking kabisa?  10. Je trafiki jam ya eneo hili inaendana na biashara yangu ninayo taka kuinzisha hapa?  11. je ni salama kwa wateja wangu? Je kwa wafanya kazi wangu? Je kwa mali zangu?
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  in general that is what i can term it as "product placement"

  correct me if i am wrong
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu vyoyote vile
   
 4. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  This is very good,umenikumbusha kitu muhimu sana,God bless u.
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks mkuu maelezo mazuri nimepata k2
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Thanx thanx mkuuu
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  once I again I salute JF brothers and sisters.........kudos mkuu kwa maada yenye mashiko!
   
Loading...