Ni lini zitatangazwa nafasi za kujiinga na jeshi la polis na uhamiaji

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Ni muda sasa sijapata kusikia nafasi za kujiunga na jeshi la polisi na jeshi la uhamiaji zikitangazwa
Kwa sasa ndio nafasi ninazozisubiri ili niweze kuomba kujiunga na moja ya majeshi haya

Kwa wanaoelewa ni lini serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani itatangaza nafasi hizi ili ziweze kupunguza changamoto ya ajira
Naomba kujuzwa
 
Chuo cha Polisi Moshi kila mwaka kinaingiza wanafunzi na kila mwaka kinatoa Polisi kuingia katika ajira.Kama ilivyo kwa Jeshi la wanainchi Tanzania chuo cha Kijeshi Monduli ..TMA
 
Idara ya Uhamiaji yatangaza nafasi za kazi | Magazeti ya leo

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kamishna Mkuu wa Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji. Nafasi hizo ni Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Koplo wa Uhamiaji na Konstebo wa Uhamiaji.

A. MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (Nafasi 70)

SIFA ZINAZOHITAJIKAAwe na Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika fani zifuatazo:

Sheria, Uchumi, Biashara, Utawala, Uandishi wa Habari, Ualimu, Usafirishaji, Raslimali Watu, Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Takwimu, Uchapaji, Uhandisi Majengo na Uhandisi Mitambo.

Awe na umri usiozidi miaka 35MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYAKusimamia doria sehemu za Mipakani, Bandarini, Vituo vya Mabasi, Treni na sehemu zenye vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwemo vya majiniKusimamia shughuli za upelelezi, kuandaa Hati ya Mashitaka na kuendesha mashitakaKutoa na kupokea fomu mbali mbali za maombi ya Hati za Uhamiaji Kufanya Ukaguzi wa Mwanzo wa Maombi mbalimbaliKuagiza ufunguaji wa Majalada ya watumiaji Kupokea na kukagua Hati za Safari, Fomu za Kuingia na Kutoka NchiniKuidhinisha malipo mbalimbali ya huduma za Uhamiaji kwa wanaostahiliKutunza kumbukumbu za ruhusa za watu wanaoingia na kutoka nchiniKukusanya, kusimamia na kutunza takwimu za Uhamiaji na UraiaKuandaa majibu ya maombi yote ya huduma za uhamiaji yaliyokubaliwa au kukataliwa

B: KOPLO WA UHAMIAJI (Nafasi 100)
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA:

Awe amehitimu Kidato cha Sita na kufauluAwe na umri usiozidi miaka 30

C. KONSTEBO WA UHAMIAJI (Nafasi 100)
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA:

Awe amehitimu Kidato cha Nne na kufauluAwe na umri usiozidi miaka 25

D: SIFA ZA ZIADA: KOPLO/KONSTEBO WA UHAMIAJI

Cheti cha Ufundi Stadi (Full Technical Certificate) kwenye fani ya Umeme na MitamboCheti au Stashahada ya Uhaziri (Certificate or Diploma in Secretarial Studies) kutoka Chuo kinachotambulika na SerikaliCheti au Stashahada ya Kutunza Kumbukumbu (Certificate in Records Management) kutoka Chuo kinachotambulika na SerikaliCheti au Stashahada ya Takwimu (Certificate or Diploma in Statatistics ) Kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.Cheti au Stashahada ya Vyombo vya Majini (Certificate or Diploma in Marine Transportation and Operations) kutoka Chuo kinachotambulika na SerikaliCheti au Stashahada katika fani ya Uchapaji (Printing)Ujuzi na Elimu ya Kompyuta na Uandishi mzuri utazingatiwaCheti cha Ufundi Makanika,Kozi ya juu ya Udereva na Leseni ya Udereva Daraja C

E. MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA

Kufungua, kupanga na kutunza majalada ya huduma mbalimbali za Uhamiaji Kuandika Hati mbalimbali za UhamiajiKufanya doria sehemu za Mipakani, Bandarini, Vituo vya Mabasi, Treni na sehemu zenye vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwemo vya majini.Kusindikiza watuhumiwa wa kesi za Uhamiaji Mahakamani pamoja na wageni wanaofukuzwa nchiniKufanya ukaguzi kwenye mahoteli, nyumba za kulala wageni na sehemu za biashara.Kuchapa au kuandika kwa kompyuta barua au nyaraka mbalimbali zinazohusu kazi za kila siku za Uhamiaji.Kufanya matengenezo/ukarabati wa mitambo na vitendea kazi vya UhamiajiKuandaa na kutunza takwimu za huduma mbalimbali za uhamiaji

F. MAOMBI YOTE YAWE NA VIAMBATISHO VIFUATAVYO:

Nakala za vyeti vya kuhitimu masomo kwa mujibu wa sifa zilizotajwaNakala ya Cheti cha Kumaliza Elimu ya MsingiNakala ya Cheti cha KuzaliwaPicha mbili (Passport Size)Barua ya Utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa

G. UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yapitie posta na barua za maombi ziandikwe kwa mkono.

Maombi ya nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji yatumwe kwa:

KATIBU MKUU,
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI,
S.L.P. 9223,
DAR ES SALAAM

Maombi ya nafasi ya Koplo wa Uhamiaji na Konstebo wa Uhamiaji yatumwe kwa:

KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI,
S.L.P. 512,
DAR ES SALAAM

Mwisho wa kutuma maombi kwa nafasi zote ni tarehe 27/02/2014
 
Subiri viwanda
 
kuna ukweli wowote hapa?
chanzo cha habari hii ni kipi
 
Chuo cha Polisi Moshi kila mwaka kinaingiza wanafunzi na kila mwaka kinatoa Polisi kuingia katika ajira.Kama ilivyo kwa Jeshi la wanainchi Tanzania chuo cha Kijeshi Monduli ..TMA
Mara ya mwisho ilikua 2015/2016 baada ya hapo walisitisha ajira za upolisi
 
Back
Top Bottom