Ni lini uongozi wa chuo kikuu ulibariki maandamano ya wanafunzi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni lini uongozi wa chuo kikuu ulibariki maandamano ya wanafunzi???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Feb 5, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni amesema walilazimika kuyatawanya maandamano ya wanachuo kwa kuwa uongozi wa chuo haukua na taarifa zozote na wala haukubariki maandamano hayo. Nijuavyo mimi jeshi la polisi ndilo lenye mamlaka ya kutoa kibali cha maandamano. Kumbukumbu zangu za hivi karibuni zinanionesha kuwa uongozi wa chuo kikuu siku zote umekua ukipinga migomo na maandamano ya wanafunzi na siku zote umekua mstari wa mbele kubandika matangazo ya kuwaonya wanafunzi na kutishia kuchukua hatua za kisheria. Nauliza ni lini uongozi wa chuo umepewa mamlaka ya kubarikia au kuruhusu maandamano ya wanafunzi.
   
 2. W

  We can JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Polisi pia hawana mamlaka ya kubariki au kuzuia maandamano. Wao wanapewa taarifa tu... wajifunze nchi za wengine, wakikataa kujifunza, watalazimishwa kujifunza.....
   
 3. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi polisi wana wivu na wasomi, kwakuwa wao hawajasoma. Hutumia fursa kama hizi kumalizia hasira zao za kukosa elimu
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :clap2::laugh: utawaongezea hasira!
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jana mlisikliza maoni ya kibonde, nadhani anamatizo ya akili si bure
   
Loading...