Ni lini ulifikia ukomo wa ukuaji?

Sawa mkuu ana Sura ya Kikubwa Lakn Umbo lake bado Ni Dogo(Hajatanuka)Vp hapo ananafasi
Hapo itategemea na genes za wazazi wote wawili sababu kama ana sura ya kikubwa ni kwamba ameshakuwa kwa sababu kuna watu wengi wafupi wenye miili midogo lakini sura inakutambulisha kama ni mtu mzima.
 
Kurefuka kunachangiwa sana na vinasaba, kuna watu wanakoma kurefuka hata na miaka 15 na hapo wengine ndio kwanza wanaanza kurefuka. Ila kwa 5.3 kwa 19 years anaposibility ya kuongezeka hata 5 centimetre mpaka kufikia age 25
 
obviously urefu unatoka kwa wazazi.
mimi ni 17 but ni 6 feet tall sababu wazazi ni warefu hivyo nimerithi.

sasa kama yeye wazazi wake ni warefu basi kuna uwezekano mkubwa wa yeye kurefuka hapo baadae ila kama ni wafupi basi hakuna njia nyingine zaidi ya kujikubali, ila nadhani kuna njia za kufanya mazoezi nimeona watu wanatoa shuhuda kwamba wameongozeka some inches.
Daa 17 years una 6 feet? Unaweza komea hapo hapo au ukarefuka zaidi hadi 6.5 kufikia 22-25years
 
Na mm Nimeliona Hilo Ila sidhan kama anaweza Fikia 6.5feet,Atatisha Na kama ni mwembamba Atakuwa kama Ngongoti
6.2 - 6.5 ni kawaida kwa mwanaume.
alafu napiga zoezi hivyo mwili unalingana na urefu ni kama alivyo will smith ila yeye amenizidi 2 inches.
 
Sasa MUNGU ndio ameamua awe na maumbile hayo nyie wanadamu na viburi vyenu mnamsahihisha muumbaji na kutaka mtu awe vile mnavyotaka.... Loooh wanadamu.....



Sasa niulize kwanza hivi mtu akiwa mrefu ndio maisha yanamnyookea kila kitu kina tiki au?!

Na mtu akiwa mfupi kuna vitu anakosa au?!

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hapo Sawa mkuu kwa maana Hiyo Dogo bado anachance ya Kurefuka kidogo licha Ya Kuwa Na ndevu ee
Kuna uwezekanano akawa amefikia ukomo wa kurefuka. Hata hiyo nusu inchi aliyoongezeka, sio kwa sababu ya dawa, bali ni umri ulimruhusu.
 
mlimuathir nyie kwanza kisaikolojia.toka udogo wake mkaanza kumsema mfupi mfupul hio tayar imeshamuaafect apewe councering na ataacha.mbona iverson ana 5 lakin humkabi
 
mlimuathir nyie kwanza kisaikolojia.toka udogo wake mkaanza kumsema mfupi mfupul hio tayar imeshamuaafect apewe councering na ataacha.mbona iverson ana 5 lakin humkabi
Ni kwel Umenena Madam.Hata Hivo mi Naona 5.3-5.4 feets Hakuna cha Ajabu,Kingine Dogo jenyewe Handsome Pia Ana akili Ya Shule balaa,Is Like Anakila kitu Mi Naona,Ila nahisi Kama Isingekuwa Basketball Asingekuwa Anafikir kabisa about Height.Kwa sababu Wenzake wa basketball ni 5.7-6.2feets Sasa nahisi Huwa anajilinganisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom