Ni lini tutapata muarobaini wa bima ya afya ?

mchanga mchanga

Senior Member
Jun 13, 2017
115
82
Natamani.kusikia waziri wangu wa afya akija na njia ambayo itatusaidia wajasiliamali kote nchini tunapatiwa bima ya afya .kama Mh Rais alivyokuja na vitambulisho vya wajasiliamali.namuomba Mh.waziri wa afya aje na mpango huu haraka iwezekanavyo ili na sisi wajasiliamali tuwe na uhakika wakutibiwa pindi tunapopata maradhi tuwe na uhakika wa kujitibia bila kusumbua watu wengine au serekali.ulikuwepo mpango mzuri kwa wajasiliamali kujikusanya katika vikundi na kupatiwa bima za afya kwa vikundi .huduma ambayo ilikuwa inatolewa na mpango wa bima ya afya ya taifa NHIF.lakini ghafra.umesimamishwa bila.sababu zozote .niseme kitu kimoja hata siku moja serekali haiwezi kupata hasara kwa kujali afya ya raia wake .nimuombe waziri wangu wa afya alifatilie hili kwa makini kwa mustakabali mzima wa nchi yetu na raia wake .
 
Back
Top Bottom