bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 757
- 1,020
nataman waruhusu maana kama kusubir nimesubir miaka mingi na ruhusa sha pataa!
kwel mkuu?Walifungua jana
Wataruhusu pale TU mda wa kuapply utakapofika..nataman waruhusu maana kama kusubir nimesubir miaka mingi na ruhusa sha pataa!
ahsante mkuu!Wamefungua kwa waombaji wenye matokeo ,kuanzia mwaka jana kurudi nyuma
Hahahahahaha yaani akifuata huu ushauri amekwishaWatafungua rasmi tar 30 mwez wa 9
Sasa kama walituambia kwamba watafungua Leo tar 25 afu hawajafungua si bora tuotee tuHahahahahaha yaani akifuata huu ushauri amekwisha
Aliesema hawajafungia nani?Sasa kama walituambia kwamba watafungua Leo tar 25 afu hawajafungua si bora tuotee tu
Tayar mbona