Ni lini tanzania tutaanza kuwaenzi wasanii wetu?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Messages
1,286
Likes
26
Points
0

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2009
1,286 26 0
Tunawaenzi vipi wasasnii wetu?
wapo wengi wa ngoma na maigizo, miziki ya dansi na michezo.
je tunawaenzi vipi, wao na mchango wao kwa jamii?
Morris Nyunyusa, ni nani anamkumbuka?
Wachezi ndio tunao wengi lakini hamna anaewakumbuka,
hawamo hata kwenye benchi la ufundi la Taifa Stars.roger-milla-300x218.jpg
Roger Milla mchezaji wa zamani wa Cameroon
 

Forum statistics

Threads 1,192,266
Members 451,893
Posts 27,731,256