Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

Moderator piga ban huyu mtukanaji
Miez miwili tu nchi imeshawashinda mnakimbilia kenya mxieww mlidhan kuongoza nchi ni makalio kila mtu anayo, miez miwil tu mnawewesek utadhan mbwa anataka kujifunguli kwenye makalio, magufuli ndo slikua jembe, jeshi la mtu mmoja, hapelekeshwi
 
Sasa kazi ya wakuu wa mikoa, wilaya,watendaji wa kata,wabunge,TISS n.k itakuwa ni nini.

Kweli kichaa alifanikisha kuwabrainwash wapumbavu wengi.
Kwa hiyo samia atakuwa na kazi ya kukaa ikulu tu au anataka kuwa balozi wa nchi za nje?
 
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,

ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,

kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi

tunakupenda sana

asante sana

mitano tena✋
Yaani kuna madiwani, watendaji wa kata na vjiji,wakuu wa wilaya na mikoa, bado unataka Raisi amefanye kila kitu.
Halafu unasemaje Raisi aliyeko madarakani ni president*** (presidential lugha sahihi) material? Wakati tayari ni president hata kama hakuwa material?
 
Tunataka tuone miradi ikizinduliwa
 
Yaani kuna madiwani, watendaji wa kata na vjiji,wakuu wa wilaya na mikoa, bado unataka Raisi amefanye kila kitu.
Halafu unasemaje Raisi aliyeko madarakani ni president*** (presidential lugha sahihi) material? Wakati tayari ni president hata kama hakuwa material?

Raisi kazi yake ni nini kuzunguka tu na ndege au sio ? Ahsante kwa kututoa ushamba wengine tulikua hatujui mkuu
 
Hukumuona wiki iliyopita akizungumza na wazee wa CCM wa Dar? Hujamuona jana akizungumza katika baraza la Eid? Hukumuona akihutubia Taifa kupitia bunge? Hujamuona akimuaga mwendazake Tedy Mapunda? Hukumuona akimuaga Magufuli Chato? Hujamuona akizungumza na Mwinyi Zanzibar?
Kwa hiyo samia atakuwa na kazi ya kukaa ikulu tu au anataka kuwa balozi wa nchi za nje?
 
Ongezea Ma DAS , RAS, mawaziri, waziri mkuu, makatibu wakuu, wakurugenzi
Yaani kuna madiwani, watendaji wa kata na vjiji,wakuu wa wilaya na mikoa, bado unataka Raisi amefanye kila kitu.
Halafu unasemaje Raisi aliyeko madarakani ni president*** (presidential lugha sahihi) material? Wakati tayari ni president hata kama hakuwa material?
 
Kwa hiyo samia atakuwa na kazi ya kukaa ikulu tu au anataka kuwa balozi wa nchi za nje?

Mie sitak kucheka jaman, mi Naona shostito anafanya kaz ubalozin ila wanatuficha kuna rais Nyuma ya pazia, maana sio kwa ndege hizo khaa
 
Unahisi ni kitu gani asichokijua kutoka kwa wananchi wake? Kazi ya watendaji walio chini yake ni ipi?
 
Maeneo ya kutosha ni mangapi katika kipindi cha miaka minne??
Ameshakuwa waziri kwa miaka mingi na makamu wa Rais kwa miaka mitano anajua vizuri watu wake na uhalisia wa maisha yao.
Trip watajipanga ziwe ngapi. Miaka 4 si kidogo. Makubwa anaweza kufanya.

Unataka awe anashinda dar na dom tu? Halaf ikifika kipindi cha kuomba kura kila mtu anamuona mgeni. Au unataka aanze trip za Ulaya? Utafikiri huko ndo watampa kura

Waziri kwa miaka mingapi akishughulikia masuala yapi na wapi?
 
Akiangalia bungeni yanayasomewa atajua kama ripoti zimetengenezwa mahususi. Muambie mbunge wako aseme bungeni matatizo yenu.
Mkuu, unataka Rais wa nchi ajue matatizo ya nchi kwa kusoma ripoti zilizotengenezwa mahususi? Mwambie aende kulekule akajionee
 
Wewe na wenzako hata msimpopigia kura atashinda tu na yeye mwenyewe aliwahi kusema hivyo. Tume ya uchaguzi atakayoiteua yeye ndio itaamua nani mshindi.
Trip watajipanga ziwe ngapi. Miaka 4 si kidogo. Makubwa anaweza kufanya.

Unataka awe anashinda dar na dom tu? Halaf ikifika kipindi cha kuomba kura kila mtu anamuona mgeni. Au unataka aanze trip za Ulaya? Utafikiri huko ndo watampa kura

Waziri kwa miaka mingapi akishughulikia masuala yapi na wapi?
 
Rais ameshasema kero zimalizwe na watendaji huko huko chini

Watanzania wapo milioni 60 mtu mmoja hawezi kusikiliza kero zetu wote

Hao watendaji ndio wasikilize kero na amesema akikuta kero ana deal na hao wakubwa wa huko chini

Rais afanye kazi kubwa kama hizo za kimataifa sio kwenda kusikiliza mipaka ya vijiji.
 
Sasa kazi ya wakuu wa mikoa, wilaya,watendaji wa kata,wabunge,TISS n.k itakuwa ni nini.

Kweli kichaa alifanikisha kuwabrainwash wapumbavu wengi.
Kwani Kura za umakamo wa Rais aliombewa na Nani . Ziara ni muhimu ili vitu vingine asiwe anavisikia tuu avione Kwa macho yake
 
Back
Top Bottom