Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
Wakuu,
Kama kuna mtu anayekumbuka tarehe Nyerere alipotembea kwa miguu toka Butiama hadi Mwanza ili kuunga mkono Azimio la Arusha, naomba msaada wenu.