Ni lini nafasi ya DED wa Itigi itajazwa ?

nchi imegawanyika sana hii, kuna jamaa aliendasha gari akiwa morogoro wakati akiwa DED Wilaya moja tanga, haikuchukua hata saa tano kabla hajatenguliwa. Ila huyu muuaji anaendelea kula mshahara.
Kumbe imeshathibitika kwamba aliua? Ni adhabu gani kapewa na Mahakama?
 
Back
Top Bottom