Ni lini matokeo ya udahiLi yatatoka, lakini pia ni lini muda wa masomo utaanza?

Ni kuanzia tareha 26/8/2018 - hadi 30/8/2018. Hapa vyuo mbalimbali vitatoa majina ya waliochaguliwa na kuwaomba wahusika wathibitishe kujiunga na vyuo vyao. Wenye multiple selection wathibitishe chuo kimoja tu. Zoezi hili ni la wiki moja ili ikifika 30/8/2018 majina ya waliochaguliwa na kuthibitisha kujiunga na vyuo hivyo yatoke rasmi. Si kwamba hiyo 30/8/2018 ndo watu waanze zoezi la kuthibitisha kujiunga na vyuo kwa wenye multiple selection. Ni kweli kuwa taarifa ya TCU haikuwa wazi sana kuhusu muda wa wenye multiple selection ku-confirm. Chuo kitakachochelewa kuweka majina WAZI MAPEMA na kutoa fursa ya watu kuthibitisha kitaangukia pua!!!. Ni wazi kuwa haiwezi kuwa ni tarehe 15/8 maana siku hiyo ndiyo mwisho wa kupokea application. Lakini haiwezi pia kuwa ni tarehe 30/8 maana ndiyo siku ambayo majina yaliyothibitisha kujiunga na vyuo husika yatatoka. Ni hapo katikati.

Na matokeo kwa wale walio-apply Diploma kupitia NACTE?
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri Mkuu.
 
Unataka uende chuo na hata muda wa kwenda kufanya sup bado tulia kwanza...wakubwa wasawazishe vimeo utaenda tu
 
Back
Top Bottom