Ni lini matokeo kwa walio-apply vyuo vya ufundi kuanzia Mei yatatangazwa?

hilker mhema

Member
Mar 20, 2017
81
23
Naombakuuliza ya kuwa lini matokeo kwa walio apply vyuo vya ufundi yatatangazwa?na je yatatangazwa kwa njia gani?majibu yeu ni msaada tafadhari.
 
Umeapply kupitia NACTE(CAS) au kupitia chuo moja kwa moja...?
Tuanzie hapo kwanza
 
Bwana mdogo una Pressure kweli na Chuo, Em vuta Subira kama Ume apply DIT na MUST au KIST Ni kuanzia mwezi wa nane na Wa tisa ndo selection zinaanza ila Kwa Arusha Technical ni Kuanzia mwezi ujao , Wacha Pressure
 
kachoka kuzurura kitaa huyo mkuu
 
Back
Top Bottom