hilker mhema
Member
- Mar 20, 2017
- 81
- 23
Naombakuuliza ya kuwa lini matokeo kwa walio apply vyuo vya ufundi yatatangazwa?na je yatatangazwa kwa njia gani?majibu yeu ni msaada tafadhari.
nimeapply kupitia chuo moja kwa mojaUmeapply kupitia NACTE(CAS) au kupitia chuo moja kwa moja...?
Tuanzie hapo kwanza
nimeapply kupitia chuo moja kwa moja
kama chuo moja kw moja subir mpaka mda.. maana hadi sasa vyuo vinaendelea kupokea maombi.. kuna vingine vinafunga maombi mwez wa 7 .. hvi vitarelease matokeo mapemanimeapply kupitia chuo moja kwa moja
kachoka kuzurura kitaa huyo mkuuBwana mdogo una Pressure kweli na Chuo, Em vuta Subira kama Ume apply DIT na MUST au KIST Ni kuanzia mwezi wa nane na Wa tisa ndo selection zinaanza ila Kwa Arusha Technical ni Kuanzia mwezi ujao , Wacha Pressure