kebi kebi
Member
- Dec 16, 2016
- 81
- 36
Mimi ni ni kijana niliyehitimu chuo, miaka 3 iliyopita, mpaka Leo sijasikia post ya fani yangu ila kila siku nasikia mkuu kateua mkurugenzi Mara wenyeviti Mara wabunge ni lini atatujali sisi watu wa kawaida?? Sisi ndio tuna deal effectively na jamiii ila yy anateua makada kuwa wakuu wa taasisi ama idara why??