Ni lini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere atapumzishwa ' Kufananishwa ' Kinafiki na Wanafiki?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,463
108,617
Naombeni sasa wale ambao mnajifnya mmebobea Kumfananisha Hayati Baba wa Taifa na Watu wengine kila uchao / siku safari hii basi msisahau Kunifananisha nae na Mimi GENTAMYCINE kwani nahisi hata Mimi ninafanana nae sana tu. Sasa ole wake safari ijayo nione Mtu mwingine anafananishwa na Hayati Nyerere halafu nisiwe Mimi hakyanani ' patachimbika ' hapa Jamvini.

Nawasilisha.
 
Mimi nashangaa sana eti watu kumfananisha baba wa taifa na mtu anayejiita kichaa, mshenzi au sura mbaya. Baba wa taifa hakuwa na sifa hizo kabisa! Nakanusha kwa kinywa kipana hakuwa na sifa hizo za kupayuka payuka hovyo!

Ikulu ni sehemu patakatifu, sio Mirembe wala Lutindi na kuweka ulevi pale ni chanzo cha kuhalalisha najisi!!
 
Mojawapo wa vyeo sivikubali ni "baba wa taifa". Hiki ni cheo cha ajabu kabisa kuwahi kupewa raia wa nchi hii. Hii nchi iliundwa na wazungu hadi mipaka walituchorea na mifumo ya kutawata wakatuwekea. Wakatuachia kila kitu lakini sisi tukakimbilia zaidi utukufu. Sishangai wengine wanajivika hadi vyeo vya huko mbingini kujiita malaika.
Ulevi utatupeleka pabaya sana sisi jamii ya waafrika.
 
Mimi nashangaa sana eti watu kumfananisha baba wa taifa na mtu anayejiita kichaa, mshenzi au sura mbaya. Baba wa taifa hakuwa na sifa hizo kabisa! Nakanusha kwa kinywa kipana hakuwa na sifa hizo za kupayuka payuka hovyo!

Kwa ufahamu wangu mdogo sana hizi ndizo Sifa za ' Kiupekee ' ambazo nimezijua kumhusu Hayati Baba wa Taifa Nyerere tokea nilipokuwa mdogo hadi pale alipoaga dunia mwaka 1999, hivyo basi hebu tuziangalie na tuweze kuona kama hao wengine ambao kila uchao / kukicha wanafananishwa nae wanakidhi na wanavaa kisawasawa viatu vyake japo nina uhakika kuwa kwa Mimi GENTAMYCINE nafanana nae kwa 99% na hiyo 1% ni ya vitu Vichache mno.

1. Nyerere alikuwa Mkarimu si tu wa Rohoni bali hata Usoni mwake uliweza Kuuona Ukarimu wake.
2. Nyerere alikuwa ana Ukali na Hasira za Kujenga ila pasipo Kumuumiza au Kumuathiri Mtu.
3. Nyerere alikuwa anapenda sana Kujichanganya na Watu, Kujinyenyekeza na Kujishusha Kwao.
4. Nyerere alikuwa ni Mkweli ila ambaye anatoa Suluhisho ya Matatizo bila Kuathiri mtiririko mzima wa Umoja.
5. Nyerere alikuwa si Mnafiki na hata kama aliyekosea ni Mtu wake wa karibu basi atamuwajibisha ipasavyo.
6. Nyerere alikuwa ni Mtu mwenye Huruma ya Asili na siyo Huruma ya Kujilazimisha au Kuilazimisha ili usifiwe.
7. Nyerere alikuwa siyo Mpayukaji wala Mkurupukaji na alikuwa hatoi Neno bila Kwanza Kulipima na Kulitafakari.

Hiyo 1% iliyobaki hapo na ambayo nimesema kuwa huenda nikawa sifanani nae ni kwamba Hayati Mwalimu Nyerere Yeye hakuwa ' Kichaa ' ila Mimi GENTAMYCINE kila nikijitizama na kujiangalia najiona ni ' Kichaa ' fulani vile japo na Mimi pia nina ' Kichaa ' mwenzangu mmoja hivi.

Mwenyezi Mungu aiweke mahala pema peponi Roho ya Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Mimi nashangaa sana eti watu kumfananisha baba wa taifa na mtu anayejiita kichaa, mshenzi au sura mbaya. Baba wa taifa hakuwa na sifa hizo kabisa! Nakanusha kwa kinywa kipana hakuwa na sifa hizo za kupayuka payuka hovyo!

Hakuna Mtu ambae hafanani chochote Na Yeyote
Mf. Naweza kusema Julius Nyerere Na Magufuli wanafanana Jinsia, dini, dhehebu, Madaraka,wanatokea kanda Moja ( ya Ziwa) wote wamesoma Seminari

Wote wana double standard kwenye Tawala zao, wote wakurupukaji Mf. Nyerere alileta Azimio la Arusha Na sera ya ujamaa Kwa kukurupuka

Wote wanakamndamiza Demokrasia Nyerere alipiga Marufuku vyama vya Siasa, Magufuli kapiga Marufuku Mikutano ya nje ya vyama vya Siasa

Magu anaogopwa Kama Nyerere kukosolewa n.k

Nyerere Ni binadamu kusema hafanani Na Mtu Yeyote Ni kumkweza kupita kiasi

Nyerere hakuwa Malaika

Yapo Mazuri Mengi Sana kayafanya Hakuna Rais wa kumfikia Na yapo mabaya Mengi kayafanya Hakuna Rais wa kumfikia
 
You are absolutely right mkuu, uchambuzi
 
Huyu ndio chanzo cha upuuzi wote tulionao sasa. Angekuwa rais wa sasa angekuwa ndio rais hovyo kuwahi tokea. Ashukuru alikuwa rais enzi hizo watu waoga wa kuhoji.

Mkuu nakuomba tengua upesi Kauli yako kwani kama ukitaka uipandishe ' Mizimu ' yangu na ' moto ' uwake hapa sasa hivi katika Uzi huu ni pale ukimdhihaki na kumsema vibaya Kiongozi ambaye hadi hii leo si tu Taifa la Tanzania bali hata Dunia nzima inamlilia Hayati Mwalimu Nyerere.

Dhihaka yako hii Kwake imenikera na siwezi Kuivumilia. Nakuomba tengua upesi kama siyo haraka mno kabla Kichwa changu hakijaendelea kupata ' moto ' kisha ukaanza kupokea ' Mashambulizi ' ya ' Kimaangamizi / Kishalubela ' kama ambayo nchi ya Palestina inayapata kutoka kwa Taifa Teule la Israeli.

Yaani umenichefua kabisa. Unamdhihaki Baba wa Taifa kweli!
 
Hakuna Mtu ambae hafanani chochote Na Yeyote
Mf. Naweza kusema Julius Nyerere Na Magufuli wanafanana Jinsia, dini, dhehebu, Madaraka,wanatokea kanda Moja ( ya Ziwa) wote wamesoma Seminari

Wote wana double standard kwenye Tawala zao, wote wakurupukaji Mf. Nyerere alileta Azimio la Arusha Na sera ya ujamaa Kwa kukurupuka

Wote wanakamndamiza Demokrasia Nyerere alipiga Marufuku vyama vya Siasa, Magufuli kapiga Marufuku Mikutano ya nje ya vyama vya Siasa

Magu anaogopwa Kama Nyerere kukosolewa n.k

Nyerere Ni binadamu kusema hafanani Na Mtu Yeyote Ni kumkweza kupita kiasi

Nyerere hakuwa Malaika

Yapo Mazuri Mengi Sana kayafanya Hakuna Rais wa kumfikia Na yapo mabaya Mengi kayafanya Hakuna Rais wa kumfikia
You are absolutely right mkuu, uchambuzi umekidhi haja kabisa kwa muktadha wa uzi huu
 
Hakuna Mtu ambae hafanani chochote Na Yeyote
Mf. Naweza kusema Julius Nyerere Na Magufuli wanafanana Jinsia, dini, dhehebu, Madaraka,wanatokea kanda Moja ( ya Ziwa) wote wamesoma Seminari

Wote wana double standard kwenye Tawala zao, wote wakurupukaji Mf. Nyerere alileta Azimio la Arusha Na sera ya ujamaa Kwa kukurupuka

Wote wanakamndamiza Demokrasia Nyerere alipiga Marufuku vyama vya Siasa, Magufuli kapiga Marufuku Mikutano ya nje ya vyama vya Siasa

Magu anaogopwa Kama Nyerere kukosolewa n.k

Nyerere Ni binadamu kusema hafanani Na Mtu Yeyote Ni kumkweza kupita kiasi

Nyerere hakuwa Malaika

Yapo Mazuri Mengi Sana kayafanya Hakuna Rais wa kumfikia Na yapo mabaya Mengi kayafanya Hakuna Rais wa kumfikia

Kama kuna mabaya ambayo Nyerere aliyafanya basi ni 1% tu ila 99% kafanya vizuri sana kama siyo mno. Kupitia Uzi huu naweza pia kuwajua / kuwang'amua Watanzania wachache Wapuuzi na wenye Upopoma uliotukuka kabisa ambao kumbe wanamchukia Nyerere ila Kinafiki wanajifanya wanampenda. Na naamini kupitia Uzi huu nitawaona na Wenzako wengi tu kama ambao nimeshawaona Wenzako wawili hapo juu.

Ninachojua tu ni kwamba hakuna kama Mwalimu Nyerere si tu Afrika bali hata duniani na ndiyo tulio na Imani Kali za Kiroho tunasema kwamba Nyerere hakuwa Binadamu Kiuhalisia bali alikuwa ni Malaika kutoka kwa Mwenyezi Mungu aliyeletwa katika nchi nzuri ya Tanzania ambayo hata hivyo kwa bahati mbaya sana Tanzania ya sasa ina uwepo wa ' Vichaa ' kadhaa.
 
Mkuu nakuomba tengua upesi Kauli yako kwani kama ukitaka uipandishe ' Mizimu ' yangu na ' moto ' uwake hapa sasa hivi katika Uzi huu ni pale ukimdhihaki na kumsema vibaya Kiongozi ambaye hadi hii leo si tu Taifa la Tanzania bali hata Dunia nzima inamlilia Hayati Mwalimu Nyerere.

Dhihaka yako hii Kwake imenikera na siwezi Kuivumilia. Nakuomba tengua upesi kama siyo haraka mno kabla Kichwa changu hakijaendelea kupata ' moto ' kisha ukaanza kupokea ' Mashambulizi ' ya ' Kimaangamizi / Kishalubela ' kama ambayo nchi ya Palestina inayapata kutoka kwa Taifa Teule la Israeli.

Yaani umenichefua kabisa. Unamdhihaki Baba wa Taifa kweli!
Nimekupa 'LIKE'. Inatosha.
 
Nimekupa 'LIKE'. Inatosha.

Bahati yako! Ukitaka ugombane na Mimi tu hapa Jamvini pawake moto waseme vibaya hawa wafuatao:

1. Benjamin Netanyahu
2. Vladmir Putin
3. Julius Kambarage Nyerere
4. Nelson Mandela
5. Yoweri Kaguta Museveni
6. Paul Kagame
7. John Pombe Magufuli
 
Ndugu mtoa mada nakuheshimu ktk nyanja zote!!!

Moja ya watu walionishawishi kuona jf ni sehemu ya darasa mojawapo ni ndg " Gentamycine" hakika kunako madini kwa huyu memba na nikipitia nyuzi zake nywele huwa zinasisimuka,, hoja zake hupambwa na Style yake ya uandishi wake ambao naupenda sana na unamtofautisha na mwana jf mwingine so nam -appreciate sana kaka yangu kwa uchanga Wang wa kuwa mwana jf

Kuhusu mada ya leo sina Hakika kama nitampinga ama nitakuwa natoa ushauri na mtizamo wangu binafsi ,,,

Kuhusu hili Suala binafsi sioni tatizo kwani kila aliye mwana wa adamu ana uwezo, mahaba, upendo,, uhuru na uwezo wake wa kufikiri ,na vivyo hivyo wanadamu japo tunavyofanana ndivyo tunavyotofautiana! Kuna mambo mengi tunaweza kuoanisha baina ya mtu na mtu!!

Kuhusu kumfananisha Magufuli na Nyerere sioni kwamba wanaofanya hivyo ni wanafiki nooooo!! Wao kwa mawazo yao na strategy wanazozitumia au methodology zao wanamfananisha na Nyerere na sikawii kusema kama wanakosea na sizani kama huko ni kuwaita wanafiki!!!!

Kila mtu anajudge mambo kulingana na uono wake kama binadamu mwenye akili zake timamu ukimpinga maana yake wewe kwa upeo na maono yake unaona kakosea hivyo maisha ndivyo yalivyo ganda la jana kwako ni uchafu ila kwa mwingine ni kivuno that's life..

Najua hawawezi wakalingana ktk mambo mengi ila tukubali tukatae kuna mengi wanayofanana.

Asbh njema!!!
 
Hahahahaha, alafu whawakukifananisha naye wakati hyupo hai, sasa kwakua wanajua wangeumbuka kwa unafiki wao ndio wanakifananisha wakati huu ni hayati
 
Back
Top Bottom