Ni lini CCM wamewahi kupinga hadharani jambo linalofanywa na Raisi alie madarakani?

Kama lipo nitajie na hasa yale maamuzi ambayo kwa namna moja au nyingine yameligharimu Taifa hili.


Na pie nitajieni jambo ambalo wapinzani kwa nguvu zao zote walishauri vinginevyo na mwisho wa siku wakaishia kuumbuka.

Ukipata majibu ya maswali hayo,basi utakuwa umepata jibu la hatima nzima la sakata hili la mchanga wa dhahabu kwa hapo baadae.

Aisee wewe bado kidogo utawehuka. Sio kwa enzi ya Magufuli, Yaani unavyoombea ashindwe ndio anazidi kufanikiwa na Wengi tunazidi kumuunga mkono katika kujenga Tanzania mpya.HAPA KAZI TU
 
Kabla ya mkuu hapo mkuu nipo natafuta ni lini upinzan ulishawahi kupinga alichofanya mwenyekiti wao


nakujaa


 
Kinana na nnauye walivyotembea nchi nzima waliisifia ccm kwa kuwaita baadhi ya mawaziri wake mizigo? Polepole juzi aliisifia ccm kwa mauaji ya rufiji?
 
mwenye nguvu mpishe.... ni ngumu sana! ni lini pia chadema washawahi kumpinga mbowe hadharani??
 
Back
Top Bottom