Ni lini CCM ilibadilika na kuanza kuwa rafiki wa Waislamu Tanzania?

Status
Not open for further replies.
kama anatamka mbunge wa chadema wa mwanza kwamba ccm imetuletea udini mkoa wa mwanza kwa kuwaweka wakuu wa wilaya na mkoa waislam na yeye atawapiga vita kwa hali na mali. sasa kati ya ccm na chadema bora nani kwa waislam?

Sisi wakristo wote sasa tunarudi CCM kwa ajili ya kumpa urais mkiristo mwenzetu Edward Lowasa au Bernad Membe, hatutoangalia sifa ya kiongozi tena, sasa kwa mtaji huu, masheikh ubwabwa wote mtakuwa loser. beleive me or not, rais ajae ni lazima awe mkristo, kwa mtaji huu mmepigwa changa la macho mchana kweupeeee.
 
ZITAJENGWA HOJA ZA UDINI NA TABAKA FULANI KUONEWA, LAKINI HAKUNA ANAEJIULIZA "KWANINI?" Na sababu ikisemwa UCHUNGU wake HAUMITHILIKI!! kama ni KUTENGWA kwanini TUNATENGWA? kwanini TUNATENGANA? kwanini tunajitahidi KUONDOSHA UMOJA WA KITAIFA? Kwanini HATUNA UZALENDO? Kwanini WATANZANIA wamekata tamaa? Kwanini HATUJIELEWI? Kwanini tunaowategemea watuvushe mwisho wa siku HAWAAMINIKI? Kwanini ahadi zinazotolewa na WANASIASA wetu HAZITEKELEZEKI? Kwanini hatukosi VISINGIZIO? Kwanini sisi ni WAVIVU kusoma mpaka tunaingia MIKATABA HEWA NA MIBOVU?
Ukichanganua na kupata majibu ya hapo...
UTAPATA PICHA HALISI YA WATANZANIA... Na mwisho wa siku utajua kwamba "HAKI HAIOMBWI!!"
 
Wewe unanijua mimi au kujua dini yangu?, au unajua elimu yangu?, au unajua mimi nimebobea kwenye nini?, Je nikikwambia mimi ni Padre au Sheikh utakubali au utakataa. Jibu hoja si ku quote na kuanza kutoa mawazo yako kwa general criticism. CCM ni adui namba moja wa waislam. Pinga kwa fact. Nikikwambia leo hii kuwa JK ni adui wa waislam kwa kuwa alimshughulikia Prof. Kighoma Malima kwa ku-freeze account zake za offshore ili asigombee urais kupitia NRA mwaka 1995 utakataa?.

Sihitaji kujua wewe ni nani,elimu yako ipi wala dini yako....nimeendeleza hoja yako kwa mtazamo wangu.....na wewe endelea hivyo hivyo...je niloyasema ni uwongo?
 
Mwanakijiji na wadau wengine,
Tangu Bakwata ianzishwe kuna hata siku moja iliwahi kuwa against na serikali ya CCM?
Lakini mara kwa mara waumini wa Kiislamu wamekuwa against na Bakwata.
Bakwata ni Baraza kuu la Kiislamu ambalo limewekwa na Serikali ili ku'neutralize mambo kati ya serikali na waumini wa Kiislamu.
Serikali iwe inaongozwa naMwislamu, iwe inaongozwa na Mkristo wao bakwata kazi yao ni kuweka mambo sawa kati ya Serikali na Waumini wa Kiislamu. basi.
 
sasa na dk slaa atarudi upadri? mbowe watafanya kazi gani baada ya kumkimbia?
zito bado mdogo siasa ndio kula yake mtammpelekea ccm nae?

Mmeshajiingiza kwenye mtego sasa mnatapatapa, Rais lazima awe mkristo, na kanda ya kaskazini haijawahi kutoa raisi kwa hiyo safari hii rais lazima atoke huko. mbona sinema inazidi kuwa tamu. where is my popcorn.:A S-coffee:
 
Mbona wanachama wa CUF waliuliwa na CCM huko Pemba lakini CUF wamekubali kuunda Serikali na CCM? yaani ulitaka CUF waendelee kulalamika tu kuwa wanaibiwa Kura zao huku Wa TZ wengine wakiwaita magaidi na Mijahidina! au ulitaka waingie msituni halafu Serikali yenu ikishirikiana na Wazungu wawaite Al-Kaida sio?

Nimepata matumaini kidogo baada ya nyie Wakereketwa wa CDM kuanza kutamka kwa ulimi wenu na kukiri kuwa Tanzania kuna ubaguzi wa Dini tena Wanaobaguliwa ni Waislamu! sasa huku kukiri kwenu sasa ni hatua moja muhimu na kinachotakiwa sasa kufuatia ni Kuwashawashi Waislamu kwa hoja nzito na ikibidi kuingia mkataba nao ili Wakiunge mkono chama chenu kuingia Madarakani!

Nimefarijika sana kuwa mmetambua hilo ingawaje huko nyuma mlikuwa mkiwasakama Waislamu kuwa hawakusoma na kazi yao ni kulalamika, kula kashata, kukaa mabarazani na kupiga soga tu!

Kwa hakika hakuna nchi yoyote inayoweza kupata maendeleo ikiwa nusu ya raia wake hawana elimu! na hili hapa kwetu lipo ndio maana leo ni miaka 50 tangu uhuru lakini zaidi ya nusu ya Wa TZ ni wanaishi chini ya kipato cha dola moja!! wagonjwa zaidi(rejea kikombe cha BABU), na njaa ndio usiseme!!!

Sasa CCM imeshawaahidi Waislamu kuwa itaondoa kero zao, jee CHADEMA na vyama vingine viko tayari kusubutu kutamka kuwa wako tayari kuondoa kero za WAISLAMU? tusidanganyane hapa kuwa ati CDM inaangalia tu maslahi ya WATZ nooo! TZ kila mtu anadini yake na kauli ya TZ haina dini imepitwa na wakati!!!

Naona kuna mada inajiingiza kumbe kuna wakereketwa wa CDM.
Kadogoo nadhani tunachotakiwa kuangalia katika chama ni ahadi ya chama kwa wananchi kwa ujumla,kuangalia kero za wananchi kwa ujumla na sio dini na dini.
Tutasema dini kwa maana ya Wakristo, waislam,baniani,jamatikhan, na wengineo na kesho watu watakuja kwa vikundi vyenye mwamvuli wa kidini yaani sunni na shia walokole na wasabato.
So cha maana hapa ni kuangalia kero kwa ujumla wake na kwa watanzania wote.

Je ni hii mbinu ya kinafiki iliyowafanya waislam weajirudi yaani for the whole 50 Years leo CCM ndo wameona kero za waislam wakati walisababisdha wenyewe.
Ifike wakati watu tufikiri for the benefits of our children na sio hisia mkumbo.
 
Bahati mbaya wengi humu hawaujui vizuri mtazamo wa waislam juu ya Chadema na serikali.
Waislam wana madai yao ya muda mrefu dhidi ya serikali. Hadi leo waislam wanaendelea kuulalamikia Mfumo Kristo ambao wanaamini unafanyakazi bila kujali rais aliopo madarakani.

Waislam hawaiungi mkono CCM bali Kikwete na hawajawahi kumuunga mkono kabla ya 2010.

Kilichowazindua waislam kumuunga mkono Kikwete ni Viongozi wa Kanisa kuonekana kukiunga mkono Chadema.
Wakajiuliza kulikoni wale walionufaika na serikali ya CCM kuikana hivyo wanaamini malalamiko ya sasa ya kanisa ni dhidi ya Kikwete zaidi kuliko serikali.

Lakini zaidi wanaamini kuwa Kanisa baada ya kuona CCM inachokwa wanatafuta udongo mwingine mbichi wa kupanda mbegu nako ni Chadema.

Kwa mtazamo huo na kauli za baadhi ya viongozi wa Chadema (hasa Slaa) wanaona kuwa hiki chama kitakuwa hatari zaidi kikipewa madaraka kwa kuwa kimeingia kwa msingi na msaada wa kanisa. Hivyo, kisiri, kinakuja kutetea maslahi ya Kanisa badala ya Taifa.

Je CCM 2015 ikiweka mgombea Mkristo waislam watahamia wapi? Baadhi watakwenda CUF na wengine CCM (wasiohamishika). Aidha wataendelea kuulalamikia mfumo kristo.
Hayo ndiyo wanayoongea waislam huko uraiani kwenye mikusanyiko yao.

Kwa wanasiasa, busara si kuwadharau, kuwatusi au kuwanyamazia waislam. Wasikilizeni hata kama watakayosema hamtayafanyia kazi. But listen to them first!

Mwenye macho haambiwi tazama!
 
Uislam unatafuta opportunity ya kuwa na upper hand katika siasa za nchi yetu dhidi ya ukristo. Wakristo na Waislam wana jukumu la kueneza mafundisho ya dini zao. Njia za kueneza dini hizo wakati mwingine zinashabihiana na vilevile zinatofautiana. Uislam umekuwa ukienezwa kwa mbinnu mbalimbali ikiwemo ile ya kutumia mihadhara, nguvu na fedha. Hata hivyo mafundisho ya uislam huwa hayana hoja zenye mvuto na ushawishi kuaminisha. Mafundisho ya Uislam mara nyingi hujikita katika kushambuliza zaidi Ukristo na kejeli. Mbinu hizi hazikukubalika zaidi wakati wa Mwalimu

Kutokana na hali hiyo wakati wa utawala wa Mwl Nyerere walishindwa kueneza uisalm kwa mbinu hizo. Nyerere alitaka dini zitumie mafundisho peke yake kueneza dini zao na bila kudhihakiana. Bahati mbaya mafundisho ya uislam huwa hayavutii bila kuwepo dhihaka dhidi ya ukristu, na kwa mtu mwenye akili zake hawezi kushawishika kuamini mafundisho hayo. Hivyo, Nyerere hakupendwa sana na waislam, na wanaona kama yeye ndiye aliyekuwa chombo cha kanisa kuwadhurumu uhuru na haki yao. Kwa kifupi malalamiko ya Waislam ni dhidi ya Nyerere zaidi kuliko CCM.

Sasa kwa vile Nyerere amekufa na hayupo tena anayeweza kusimamia maadili yake hapana shaka CCM inaweza kupata mapenzi ya waislam. Na ukizingatia kuwa rais aliyepo madarakani sasa hivi ni mwislam, hilo limechangia kiasi kikubwa kuondoa ugomvi kati ya CCM na waislam. Waislam sasa wanayo nafasi ya kusema jambo lolote bila kukemewa na serikali. Wanaweza kuleta madai yao ya kadhi na kuingia katika shirika la OIC bila kukataliwa kama zamani. Hali hiyo inaleta uswahiba na mahaba barabara ya waislam kwa CCM. Hilo ndio jibu la swali lako mzee M/Kijiji
 
Ila wana bahati mbaya kwa Sababu ukiangalia Alama zote mbinguni na duniani, zinaonyesha kuwa Mgombea ajaye wa CCM, LAZIMA atakuwa Mkristo. Ila sijui tu atatoka kanisa gani na la muhimu zaidi ni Je, Ni Mkristo wa ukweli au kama huyu alisemwa na Nyerere yaani George Kahama kuwa ni Mkristo ila nyumbani ana wake wawili?

Kama Kikwete ni Muislaam wa kweli, basi kweli kuna siku Papa atatoka JAMAICA.

samahani mkuu - naomba niitumie hii kama signature yangu. sorry kwa kwenda nje ya mada wanajamvi.
Shida inayotusumbua wananchi wengi (wakristo kwa waislamu ni njaa). Akipatikana mtu wa kukutatulia shida ya njaa halafu bado ukabaki kuwa independent basi wewe unaitwa mtu uliyekomaa. Bahati mbaya waliokomaa ni wachache sana katika jamii yetu.
 
Bahati mbaya wengi humu hawaujui vizuri mtazamo wa waislam juu ya Chadema na serikali.
Waislam wana madai yao ya muda mrefu dhidi ya serikali. Hadi leo waislam wanaendelea kuulalamikia Mfumo Kristo ambao wanaamini unafanyakazi bila kujali rais aliopo madarakani.

Waislam hawaiungi mkono CCM bali Kikwete na hawajawahi kumuunga mkono kabla ya 2010.

Kilichowazindua waislam kumuunga mkono Kikwete ni Viongozi wa Kanisa kuonekana kukiunga mkono Chadema.
Wakajiuliza kulikoni wale walionufaika na serikali ya CCM kuikana hivyo wanaamini malalamiko ya sasa ya kanisa ni dhidi ya Kikwete zaidi kuliko serikali.

Lakini zaidi wanaamini kuwa Kanisa baada ya kuona CCM inachokwa wanatafuta udongo mwingine mbichi wa kupanda mbegu nako ni Chadema.

Kwa mtazamo huo na kauli za baadhi ya viongozi wa Chadema (hasa Slaa) wanaona kuwa hiki chama kitakuwa hatari zaidi kikipewa madaraka kwa kuwa kimeingia kwa msingi na msaada wa kanisa. Hivyo, kisiri, kinakuja kutetea maslahi ya Kanisa badala ya Taifa.

Je CCM 2015 ikiweka mgombea Mkristo waislam watahamia wapi? Baadhi watakwenda CUF na wengine CCM (wasiohamishika). Aidha wataendelea kuulalamikia mfumo kristo.
Hayo ndiyo wanayoongea waislam huko uraiani kwenye mikusanyiko yao.

Kwa wanasiasa, busara si kuwadharau, kuwatusi au kuwanyamazia waislam. Wasikilizeni hata kama watakayosema hamtayafanyia kazi. But listen to them first!

Mwenye macho haambiwi tazama!

Mufti wa waislamu ni darasa la saba sasa huyu atakaa meza moja na maPHD holders kudiscus kitu gani? ushauri wa bure mapinduzi ni lazima naweka msisitizo ni lazima yaanzie kwa waislamu wenyewe, hakikisheni taasisi za kiislamu zinaongozwa na watu wenye elimu dunia pia, itapendeza ukisikia sheikh mkuu wa Dar es salaam ana Masters n:k waombeni akina Profesa Abdalah Safari waje kuongoza taasisi za kiislamu haya manung'uniko yatakwisha, kwa sababu utafiti unaonesha hapa Tanzania waislamu ndio matajili zaidi kuliko jamii nyingine, usidhani waislamu ni wale wa Bakwata TU A.K.A kulalamika, wapo waismailia wanaomiliki Aga khan hospital na mabenki ya kumwaga tu, hawa huwezi kuwakuta kwenye vijiwe vya kahawa na wala hawaitaji msaada wa tende kutoka kwa Gaddafi. badilikeni ndugu zetu.
 
nadhani CDM hawajapenda ku invest kwa waislam

mfano mkubwa ni kuonyesha kuwa hawana interest yoyote na maeneo yenye waislamu wengi kama zanzibar na mikoa ya pwani km lindi na mtwara
labda ndiyo inayowapa wasiwasi waislamu leo kuona ni vizuri wawaunge mkono CCM ambao wanafahamiana vizuri tangu enzi hizo

Mkuu,
naomba nitofautiane na wewe. CHADEMA imekubalika katika miji yote mikubwa Tanzania. Na idadi kubwa ya Waislamu huishi mijini. Kwa hiyo kusema kwamba CHADEMA haijainvest kwa Waislamu vya kutosha ni kujaribu kuwaburuza CHADEMA nao waingie kwenye mtego wa CCM. Mie naamini kwamba si Wailsamu wote wanaikumbatia CCM, ni vikundi tu vya watu wenye maslahi na makuwadi wa ufisadi naiyo hutumika kutoa haya matamko. Nikiangalia magazeti makini yanayoinyima usingizi CCM kwa kuanika uozo wake ya Raia Mwema na Mwanahalisi , yote ina waandishi waandamizi Waislamu ( au wenye jina la kiislamu ). Kwa hiyo huu mkakati wa kuwatumia mashehe ni wa kujaribu kuzuia matamko ya Maaskofu ambayo yanaiumiza sana CCM. Kwa mfano, awamu ya kwanza ya Waraka wa wakatoliki kwa wapiga kura , juu ya elimu ya uraia imeisha. Sasa Wakatoliki watafanya tathimini ya yaliyopita na kuja na mkakati mpya wa keulimisha raia juu ya haki zao za msingi. Hiki ndicho huwanyima usingizi CCM. Sasa lengo la hayo matamko yanayosemwa ya Waislamu ni kujaribu kuwaziba Wakristo , hasa Catholics, wasije na awamu yao ya pili ya elimu ya uraia ambayo sina shaka kabisa , itawaelimisha watu wengi kujua nani ni kiongozi na nani ni mbinafsi ambaye lengo lake litakuwa kupora rasilimali za taifa.
Ukiona mtu anaongea kwa Jaziba uje tayari ameguswa mahali pake, na anajaribu kukuzuia usiendelee kumuumbua. Na ndivyo hata wanasheria wanavyomkamata mtu mwongo. Atakuwa calm mpaka pale atakapoona kwamba wapelelezi wanakaribbuia kumng'amua, na hapo ndo vitisho na kuropoka huanza.
CCM , kwa makusudi kabisa iliacha kutoa elimu ya uraia kwa wananchi wake na kuwajaza propaganda za watu kuogopa kujua haki zao za msingi. Kitendo cha kanisa la Roman kuanza kuwaelimisha wananci hakiwezi kuvumiliwa na kundi la mafisadi hata kidogo. Na hilo kundi wapo wakristo na waislamu, ila wameona weak point ya kuwaziba mdomo Catholics ni kuwatumia waislamu. Maskini, Shehe Mkuu, ameingia mkenge. Umri wenyewe ndo huo, na yuko busy kuacha Historia mbaya nyuma yake.
Ila jambo moja la msingi ni kwamba, kitakachowanganisha Waislamu na Wakristo si matamko ya viongozi wao wakuu, bali ni shida na ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira nk, ambavyo hivi haviangalii dini, bali vinamkumba binadamu wa rika zote. Kwa mtindo huu wa siasa za kupalilia uraisi wa 2015, siyo rahisi CCM ikafanya jambo lolote litakalopunguza makali ya maisha ya Watanzania. Na hicho ndicho kitakachowaonyesha akina Pinda na JK kwamba propaganda zao hasi za udini hazijafanya kazi
Tusubiri
 
Je, Waislamu wote wanatakiwa kuanzia sasa kuiunga mkono CCM, kutoikosoa, kutoilalamikia, kutoonesha makosa yake wala kutokubaliana hata kidogo na wale wenye kuikosoa? Kwa maneno mengine, Muislamu anaweza kuwa Muumini mzuri huku bado anaendelea kuipinga CCM kinyume na maelekezo ya viongozi wake wa kidini? Au bado wapo baadhi ya Waislamu ambao msimamo wao haujatetereka dhidi ya CCM na serikali yake?
L
abda MWANAKIJIJI unajidanganya kama wanavyojidanganya wakristo wengine kuwa eti waislamu HATUNA AKILI na mnaweza kuturubuni kwa maneno ya porojo kama hizi zako.
nakukumbusha kuwa,kukaa kimya sio ujinga na makelele mnayopiga sio ushahidi wa busara zenu. sisi tumeamrishwa kuwa na subira(suratul aswri) na subira yetu inaanza kulipa na ndio kilichokusukuma kuandika upuuzi wako uliouandika. naomba unijibu maswali yafuatayo..
1.Kanisa KATOLIKI huwa halimtangazi mtu yeyote kuwa ni MWENYEHERI au MTAKATIFU(saint) mpaka huyo mtu awe ametekeleza kazi aliyotumwa na kanisa kwa kiwango cha matarajio ya kanisa au zaidi....je PADRI julius kambarage nyerere alitumwa nini na kanisa na akakitekeleza!!!! au alilifanyia jambo gani kanisa kiasi cha kutaka kufanywa mtakatifu????
2. Iweje kila anapotawala raisi muislamu ndipo KANISA LINAPOJIFANYA LINAJUA KUSEMEA NA KUTETEA watu na sio katika kipindi cha utawala wa kipadri(mkapa,nyerere)????? hivi hii hali ngumu ya maisha wakati huu inalingana na enzi ya ugali wa yanga na njugu mawe???
je ni nani aliyeweka rehani utajiri na urithi wetu wa asili mikonono mwa wageni kama sio PADRI mkapa??????/ je walikuwa wapi maaskofu na kukemea?????
3. kwa nini hizi kauli chochezi toka kwa maaskofu zinarandana, kufanana na kushabihiana na kauli za CDM na wote wanapotoa matamko mwenye akili wala hapati tabu kujua yametoka kwenye desk moja?????
maswali ni mengi lakini ngoja tuishie hapo.....
MWANAKIJIJI acha kujaribu kuudanganya umma kuwa CDM sio adui namba moja wa uislamu, na kila mtu anafahamu kuwa hata chuki yenu dhidi ya KIKWETE haijaegemea katika udhaifu wake kama kiongozi bali ni kutokana na UISLAMU WAKE.
na mapenzi yenu kwa CDM ni aina nyingine ya CRUSADE dhidi ya uislamu kwa sababu hata CDM yenu ni tawi la kanisa.
kwetu sisi,,,,,,,,, chuki yenu dhidi ya MUISLAMU KIKWETE imewatuzindua na kuwa kitu kimoja kuliko kipindi chochote tangu PADRI nyerere alitusambaratisha na kutupandikizia USALAMA WA TAIFA ndani ya BAKWATA.. chuki yenu imetuonyesha kuwa adui yetu ni nani na ni kwa kiwango gani anataka kutuangamiza. tumeungana rasmi dhini yenu, tunawajua na kuwatambua kuwa ninyi ndio maadui zetu mkiwa nyuma ya CDM.
mkimwaga mboga sisi tunamwaga ugali... na katika hili tumejipanga vizuuuuuuriiiiii...
kwetu sisi.. ni heri CCM itawale milele kuliko CDM itawale kwa masaa24

lowasa for presidential 2015, zamu yetu wakristo

Fikiria mbali kidogo ndugu, wanaopalilia ajenda hii ya udini si JK peke yake kama Mwislamu, ni mafisadi wote kwa ujumla wao, na hakuna namna Lowasa utamwengua na dhambi hii. Kumbuka, ni kundi hili hili la Mafisadi liltaka kumng'oa Dk. Alex Malasusa wa KKKT ili waweze kuwamiliki maaskofu wa kanisa hilo kwa lengo lao la kuyapora madaraka Mwaka 2015. Lakini KKKT walistuka na kina Rostamu na Lowasa wakakwama.
Hivyo si vyema kumtwika zigo hili la udini JK peke yake: nyuma yake wako wakristu wote waliopora mali ya Watanzania, akiwemo Ngombare Mwiru, Mkapa , Lowasa na kina Nchimbi. Be warned!
 
Je, Waislamu wote wanatakiwa kuanzia sasa kuiunga mkono CCM, kutoikosoa, kutoilalamikia, kutoonesha makosa yake wala kutokubaliana hata kidogo na wale wenye kuikosoa? Kwa maneno mengine, Muislamu anaweza kuwa Muumini mzuri huku bado anaendelea kuipinga CCM kinyume na maelekezo ya viongozi wake wa kidini? Au bado wapo baadhi ya Waislamu ambao msimamo wao haujatetereka dhidi ya CCM na serikali yake?
L
abda MWANAKIJIJI unajidanganya kama wanavyojidanganya wakristo wengine kuwa eti waislamu HATUNA AKILI na mnaweza kuturubuni kwa maneno ya porojo kama hizi zako.
nakukumbusha kuwa,kukaa kimya sio ujinga na makelele mnayopiga sio ushahidi wa busara zenu. sisi tumeamrishwa kuwa na subira(suratul aswri) na subira yetu inaanza kulipa na ndio kilichokusukuma kuandika upuuzi wako uliouandika. naomba unijibu maswali yafuatayo..
1.Kanisa KATOLIKI huwa halimtangazi mtu yeyote kuwa ni MWENYEHERI au MTAKATIFU(saint) mpaka huyo mtu awe ametekeleza kazi aliyotumwa na kanisa kwa kiwango cha matarajio ya kanisa au zaidi....je PADRI julius kambarage nyerere alitumwa nini na kanisa na akakitekeleza!!!! au alilifanyia jambo gani kanisa kiasi cha kutaka kufanywa mtakatifu????
2. Iweje kila anapotawala raisi muislamu ndipo KANISA LINAPOJIFANYA LINAJUA KUSEMEA NA KUTETEA watu na sio katika kipindi cha utawala wa kipadri(mkapa,nyerere)????? hivi hii hali ngumu ya maisha wakati huu inalingana na enzi ya ugali wa yanga na njugu mawe???
je ni nani aliyeweka rehani utajiri na urithi wetu wa asili mikonono mwa wageni kama sio PADRI mkapa??????/ je walikuwa wapi maaskofu na kukemea?????
3. kwa nini hizi kauli chochezi toka kwa maaskofu zinarandana, kufanana na kushabihiana na kauli za CDM na wote wanapotoa matamko mwenye akili wala hapati tabu kujua yametoka kwenye desk moja?????
maswali ni mengi lakini ngoja tuishie hapo.....
MWANAKIJIJI acha kujaribu kuudanganya umma kuwa CDM sio adui namba moja wa uislamu, na kila mtu anafahamu kuwa hata chuki yenu dhidi ya KIKWETE haijaegemea katika udhaifu wake kama kiongozi bali ni kutokana na UISLAMU WAKE.
na mapenzi yenu kwa CDM ni aina nyingine ya CRUSADE dhidi ya uislamu kwa sababu hata CDM yenu ni tawi la kanisa.
kwetu sisi,,,,,,,,, chuki yenu dhidi ya MUISLAMU KIKWETE imewatuzindua na kuwa kitu kimoja kuliko kipindi chochote tangu PADRI nyerere alitusambaratisha na kutupandikizia USALAMA WA TAIFA ndani ya BAKWATA.. chuki yenu imetuonyesha kuwa adui yetu ni nani na ni kwa kiwango gani anataka kutuangamiza. tumeungana rasmi dhini yenu, tunawajua na kuwatambua kuwa ninyi ndio maadui zetu mkiwa nyuma ya CDM.
mkimwaga mboga sisi tunamwaga ugali... na katika hili tumejipanga vizuuuuuuriiiiii...
kwetu sisi.. ni heri CCM itawale milele kuliko CDM itawale kwa masaa24

Sidhani kama umejibu swali lililoulizwa!!
 
Iwapo makala yako inakuja kutokana na kauli ya Mufti wa BAKWATA
Sidhani, nadhani ni mlolongo mrefu zaidi,mfano...kauli za mashehe tukielekea uchaguzi mkuu 2010;wakati wa sakata zima la Arusha n.k huhitaji darubini kuona.
Unaposema CCM imekuwa rafiki wa Waislamu sijui unaweza kutowa ushahidi gani kuonyesha kuwa CCM ni rafiki wa Waislamu (sio BAKWATA) hivi sasa?
Natamani hali halisi ingekuwa ndio hii; Kwamba waislamu wenyewe (si BAKWATA au Mufti) wajitokeze na kumpinga mufti kuwa wao wataunga mkono na kushiriki maandamano ya CHADEMA kwasababu yanatetea maslahi ya watanzania wote wakiwemo wao,na kukataa kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM anaposema kuwa maandamano hayo ni uchochezi,kwa vile after-all CCM si rafiki wa waislamu.
Waislamu walikuwa na sababu ya kuwa na urafiki na CCM mwaka 2005 wakati walipodanganywa lakini matokeo yakura ya kipindi hicho yalionyesha kuwa Waislamu wengi hawakukipigia kura CCM na badala yake Wakristo ndio waliompigia kura nyingi Rais na CCM kutokana na mafundisho ya viongozi wao kuwa Kikwete ni Chaguo la Mungu.
Hapa nakuunga mkono,wakristo wengi walimkubali Kikwete 2005,pengine kutokana na "mafundisho" uliyoyasema,kama na waislamu walivyompigia kwa wingi kwasababu ya "kudanganywa". Lakini hata katika MAKOSA haya mawili(yaani kuamini naively kuwa chaguo la wengi ni chaguo la Mungu na lile la kuamini kuwa muislamu mwenzetu atasimamia vizuri utekelezwaji wa ilani katika suala la mahakama ya kadhi), kipo kitu ninachokitamani kirudie tena! Yes ile hali ya kumpokea mgombea fulani kwa kuamini tu uwezo wake bila kujali dini,kabila au kanda yake.
Nafikiri kama unaleta swali la kuuliza nini kimetokea nafikiri ungeuliza nini kimetokea hata waliosema kuwa ni chaguo la Mungu waliamua kutompigia kura mgombea wa CCM?
nadhani hapa jibu lilikua wazi ndio maana halikuulizwa swali: Waliyedhani ni chaguo la Mungu aliwangusha. Akawakumbatia mafisadi na wezi kinyume na mafundisho na maadili ya kimungu,wakakubali kuwa walikosea and they moved on! Swali gumu pengine ni kwanini hawa waliodanganywa ndio kwanzaa wakaongeza ari ya kumpenda na kumtetea pamoja na chama chake?
Ama kwa upande wa Waislamu jibu lako ni rahisi sana. Kilichowapelekea Waislamu wakipigie kura CCM ni mfumo uliojitokeza wa kila mmoja na ndugu yake kwani ilikuwa jambo la logic kabisa kwa Waislamu kufata yaliofanya na Wakristo. Uchaguzi wa 2010 Tanzania kwa mara ya kwanza tulishuhudia Waraka za kidini zikihamasisha waumini na sio wananchi kwa ujumla. Pengine hii ilikuwa solidarity kwa kiongozi wa dini (kwani kiongozi wa dini utabaki hivyohivyo hata ukijitia kwenye siasa) Hapo ndipo uchama ulipoondoka na kuja udini huo unaojaribu kuwapaka nao Waislamu.
Nadhani nyaraka ilikua ni "mafundisho" ambayo yamejaribu kurekebisha makosa this time;kwamba badala ya kusema mtu fulani ni chaguo la Mungu,basi wapiga kura wajue walau sifa za mgombea atakayefaa na asiyefaa. Sifa na si jina! Ni Sifa na si dini! Anyway,kwa aliye too religious minded atasikia DINI hata pale isipotamkwa.
Nafikiri utafiti wako umesahau factor hiyo niliyokueleza. Kwa elimu yetu ya uraia Tanzania hili la kuwa ignorant mbele ya dini inapply kwa pande zote.
Hapa nakubaliana nawe na nakupongeza kwa kuliona hili. Wengi hawajui kuwa hasa hili ndio mzizi wa tatizo.
Hili la kuuliza iwapo Waislamu wawe wanakubali bila kutafakari ya serikali ya CCM nafikiri nawe umepatwa na jinamizi lilelile la kujiegemeza na upande mmoja. Swali lako halikuwa swali bali ni kejeli kwa Waislamu kuwa hawafikiri (infact kichwa cha habari kinalenga kuwadharau Waislamu). Hivyo kwa maoni yako kila kinachofanywa na CHADEMA ni kizuri na kila kilichosemwa na Mufti na kupotoka? Iwapo chama kina sera yake si haki ya mwengine kuipinga sera hiyo iwapo msimamo ni tofauti?
Sorry,umetoa maneno mazito kdogo hapo...labda MMKJ angesema BAKWATA badala ya WAISLAMU angekua sahihi au? Ungefafanua hapa twende sawa pliz.
Iwapo CHADEMA kwa vitendo na maneno wameshaleta machafuko kwa hayo mazuri wanayoyafanya huoni busara kwa mwengine kupinga machafuko hayo? Kwani kwa mtazamo wako CHADEMA hawawezi kuhamasisha watu kwa mikutano ya Hadhara isipokuwa kufanya maandamano ambayo yanaleta mtafaruku? Kwani mtu unapoandamana unakuwa unawaelimisha watu zaidi pale unapokaa kwenye kiriri na kutowa hutuba?
Machafuko ni yepi ndugu? Nani anafanyiwa "mchafuko" huo? Utulivu wenyewe uko wapi? Je kuna tofauti yeyote kwenye suala la amani kabla na baada ya maandamano ya kanda ya ziwa? Tofauti tu niliyoiona ni serikali kuagiza bei ya sukari kushuka,not a drop of blood!
Waislamu wana haki na uwezo wa kupambanua kipi na yupi na wakati gani ktowa sapoti kwa kikundi fulani cha kijamii mradi jambo muhimu ni kuwa jumuia hiyo inaweza kuleta manufaa kwa Waislamu kama kundi katika jamii na wananchi kwa ujumla.
Absolutely right! Wasipoonesha uwezo huo tunajua tu kuna mtu kawarubuni au anatekeleza yake ajenda kwa kutumia jina la uislamu.
CCM ilishawadanganya Waislmu lakini bora anaekudanganya kuliko yule anaejenga uhasama nawe.
Ni kweli! Lakini nani huyo anaejenga uhasama na waisalmu? Na tumjue ili tu-deal naye!
Namalizia kwa kukuliza Mwanakijiji CHADEMA inatambua kero za Waislamu ndani ya jamii jee inashirikisha hayo matatizo yao kwenye maandamano au upo uhusiano gani kati ya Waislamu na CHADEMA?.
oh sorry umemuuliza Mwanakijiji,mie sitii jibu,ila langu swali tu juu ya hilo: CHADEMA inatambua kero za wakristo ndani ya jamii jee inashirikisha hayo matatizo yao kwenye maandamano au upo uhusiano gani kati ya Wakristo na CHADEMA?
 
Mwanakijiji,
Shukran sana mkuu kwa swali zuri ambalo limetafsirika vibaya sana na hata kuonyesha kwamba watu wametawaliwa na Udini sana kupita kipimo, na hakika Udini upo Tanzania..

Mimi nadhani jibu zuri la maswali yako yote ni kwamba waislaam wameshindwa kumtambua adui yao isipokuwa Mkristu kutokana na Udini uliozuka nchini..UDINI UPO na UNAKOMAA..

Na ndio maana wapo radhi kumchagua kiongozi Muislaam kwa dhana ya unafuu usioonekana ktk maisha yao ikiwa ni nidhamu ya woga ktk vita hii ya Udini.

Na hakika waislaam hawaja wazi sana kuelezea matatizo yao zaidi ya manung'uniko na ulalamishi - after the fact..
Sii CCM, CUF wala Chadema imekuwa na majibu ya wazi kuhusiana na matatizo yao kwa sababu hawajui matatizo yako wapi ila kwa imani za dini..
Mimi nadhani Waislaam wanapiga mbiu kwa chama Chadema pasipo kusema wazi kwamba Waislaam wanataka kujua Chadema itawasaidia nini tofauti na CCM, ila kwa hofu na nidhamu ya woga wanashindwa kumsaliti JK wakati akiwa madarakani..kwani vita ya udini nchi imefikia kiwango cha kuogopa mtawala atatoka dini gani?

Tumeondoka ktk woga wa Mttawala atatoka kabila gani kama alivotuasa mwalimu enzi zake sasa Udini umeshika gear kubwa..

Na katika kutapatapa kwao na hasa mashambulizi ya Chadema hayana msingi wowote zaidi ya kilio chao kwa chama hiki ili kiweze kuwahakikishia kama wataweza kuondoa kero zao..

Lakini pia sii rahisi kwa chama kutoa ahadi ikiwa Waislaam hawatakuwa na malengo ya kitaifa, kukosoa pale katiba inapoasiwa na viongozi wetu.

Kukemea na kuomba haki sawa pale wanapoona wameachwa nyuma ingawa katiba yetu inapinga watu kubaguliwa kutokana na imani zao za dini.. Wawe very clear na specific!

Na inakuwa mbaya sana kama serikali na uongozi uliopo ndio unasababisha ubaguzi huu badala ya kuupiga vita..

Binafsi nielewavyo maswala mengi ya waislaam sii maswala ya kikatiba ni kelele za ombaomba wanaotaka siasa za kupendelea na kubebana au mahitaji ya dini yawe ya kitaifa na kadhalika..na hii ndio chimbuko la Udini na limefika hadi ktk siasa..

Hivyo ni muhimu sana kwa Waislaam kuyeka wazi kero zao za kitaifa ambazo zinapinga mfumo kristu kama wanavyotuita wenyewe.. Na ningependa sana kuufahamu mfumo huu unafanya kazi vipi..

Ni wapi waislaam wanataka haki sawa sehemu zipi kikatiba na sii maswala yatayotaka taratibu za kiutendaji ktk jamii ili kuepuka kugonganisha dini na siasa maanke yawezekana kabisa ikafika siku waislaam wakadai sala tano ziwekwe kwenye katiba au hata nguzo zote za kiislaam..

Wanayo haki hiyo kimsingi wa dini lakini hili haliwezi kuwa jukumu la Taifa kikatiba kutokana na watu na mazingira tuliyopo ila linaweza kutatuliwa nje ya katiba..

Ni lini CCM wamekuwa marafiki wa Waislaam, bila shaka hawajawahi kuwa maadui isipokuwa adui wa Waislaam ni Udini na wameshindwa kuupiga vita ila kuujazia mafuta..
 
Udini kitu kibaya sana, ila haina tija kusema "nyie maadui zetu na sasa tumejipanga ", ndugu zangu Waislamu adui zetu ni Ujinga, maradhi, Njaa, Ufisadi, Uhujumu Uchumi na mengine mengi na haya ndio ambayo CCM ama kimeyalea na kushindwa kuyakomesha na ndio CHADEMA kinajaribu kuwaelimisha wananchi jinsi ya kujikomboa na kuondokana na matatizo hayo, lakini hawa mamluki wanaeneza fitina zao. wakemewe kwa nguvu zote.

Wala mimi kama mkristu adui zangu si waislamu kwani kuna ndugu zangu wa damu ni waislamu sasa nao wamegeuka kuwa adui zangu! lahasha hawa wanaosema wakristu ni adui zao sio waislamu safi ni mamluki tena wenye kuujua ukweli ila kwa maksudi wameamua kuza utu wao kwa ujira mdogo sana.

Watanganyika tunakushauri Dr Phd Slaa Endelea na Mwendo huo huo na Chadema endeleza kasi hiyo hiyo, sisi tunaangalia sera zitufaazo kama Wanachi na sio kuendekeza maslahi ya Vikundi, oo waislamu ooo wakristu ooo wangoni oooo wabena huo ni ufinyu wa kufikiri.

Chadema haina haja na kura za mtu mnafiki, kwa waislamu na wakristu wenye nia njema na nchi hii hima tuungane kwa pamoja kwa kuelekea kwenye ukombozi wa kweli wa mtanzania.
 
mbogo31

umenena vizuri sana ..... naomba nikwambie hao mamluki kwa kutumia trick ya udini ku derail harakati za kumtafutia mtanzania mzalendo muelekeo wa maisha bora na maendeleo yake imekula kwao .... nakwambia watanzania wapo makini sana ... come rain come sun udini hautafanikiwa kwa level ya wananchi wa chini wanaopigika kimaisha .... hizi ni bwabwaja bwabwaja tu za vikundi fulani vinavyopata maslahi fulani
 
GUYS!!!!...Just drop it,angalieni uhusiano wa TAA na AA,TANU na ASP,CCM na Fatah,CCM na POLISARIO and tell me if CCM undermines or support Islam and Islamic societies arround the world.Mnamuongelea Nyerereje kuna rais aliyekuwa anavaa baghrashia kama Juliasi?

Asante. Consistancy on facts is a key word here
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom