Naomba Kuuliza Swali. Je Ni Lini Haswa Mtanzania Kama Mtanzania Ataanza Kufaidi Ges Ya Songo Songo Ambayo Wamepewa Na Mungu? Wana Jf Naomba Mnijibu Kama Kuna Mwenye Jibu Maana Mwenzenu Niko Ktk Kiza Kinene