Ni lazima mwanangu akikua ajue coz ninajuta kumpenda baba yake

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
habari wana jf.
Ninaandika kisa hichi nikiwa na machungu sana.
Mwanaume niliyetegemea atakuwa mwanaume wa maisha yangu amenigeuka na kuniacha peke yangu.
Nilikuwa na uhusiano na mwanaume mmoja anafanyakazi wizara ya ardhi dsm.kwa muda wa takriban miaka 6 sasa.na nilikuwa naishi naye na.tuliishi kwa upendo na amani.nikapata ujauzito nikalea mimba nikiwa nae mpaka ikafika muda wa kwenda kujifungua nikasafiri kuja kwetu kaskazini kujifungua.cha kushangaza
TOKA MWEZI WA 7 MWAKA HUU NILIVYOONDOKA:~
Hajawahi kutuma hela hata sent ya kubust matumizi na nimeshajifungua mtoto ana mwezi 1 sasa.
~hajaja kumsalimia mtoto wake toka amezaliwa
~kila nikimpigia simu ananiambia yupo baa na marafiki zake.
~kibaya zaidi kaniambia hatakuja kumsalimia mtoto anasubiri nirudi dar.
NA CHAKUSHANGAZA SASA.
WIKI 3 ZILIZOPITA alifungasimu usiku mzima.alfajiri saa12 nikampigia simu ikapatikana lkn haikuwa sauti yake ilikuwa sauti ya kike.cha kwanza kuulizwa 'kwann unamsumbuasumbua mume wangu mara msg mara calls ameshakuacha hakutaki anaogopa tu kukwambia.nikatukanwa na matusi mengine mazito ambayo c ustaarab kuyaandika.then cm ikakata.nadae nikapiga tena akapokea mtuhumiwa baba mtoto wangu.but alikana katakata hakuwa na mtu.ckupendezwa nikamwambia basi aendelee na ustaarabu wake na mm nitalea mtoto peke yangu coz hata nikimtegemea ni kazi bure coz hakuna alichowahi kunisaidia.
KINACHONIUMA.
~nilimpenda kupita kiasi
~nilipoteza vitu vingi ikiwa ni pamoja na kuacha chuo ajili yake.
~niligombana na ndugu zangu coz of him.
~nw nimeishia njiani sijui nimtambulishe mwanangu kwa baba yake au niache.na sijui moyo wangu utawezaje hata kuniruhusu kuongea nae coz ninamchukia vibaya sana.
AND THATS Y NASEMA MTOTO WANGU AKIKUA LAZIMA NIMPE KISA CHA BABA YAKE.COZ AMENITENDA HASWA.
NAWASHAURI MABINTI KAMA NI KUPENDA IWE NI KWA KIASI ISIWE TOO MUCH THEN MUWE NA MIOYO YA UJASIRI.
 
Mkuu hata mimi sielewi maana sijui anataka kumkomoa nani mtoto au baba? Sometimes kweli common sense ain't common[no hakuna ninayemkomoa ninataka kutengeneza mazingira mazuri ya ukweli wa maisha yangu na baba yake.ctaki kumficha wala kumdanganya.coz it might cost me later on.




]
 
Kinta nahisi ni maumivu kiasi gani unayoyapata ila usifanye maamuzi wakati una hasira.
 
Back
Top Bottom