Uchaguzi 2020 Ni lazima Mgombea wa Chama cha Mapinduzi atoe kauli za vitisho?

Luthertz

JF-Expert Member
Mar 7, 2018
206
830
Mgombea urais wa chama cha Chadema na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo wanaposema kwamba iwapo Tume ya Uchaguzi itapindisha haki kama inavyo fanyaga miaka yote, basi wataingiza watu barabarani, ni lazima mgombea wa CCM atoe kauli za vitisho.

Kwanini ni lazima mgombea wa CCM atoe kauli za vitisho?

Ni kwa sababu, zifuatazo;
  • Mgombea wa CCM anaelewa kwamba CCM ipo madarakani mpaka leo kwa sababu ya uoga wa watanzania, maana kama watanzania wangekataa uonevu waliofanyiwa na Tume ya Uchaguzi mwaka 2015, basi CCM na mgombea wake wasinge pata nafasi nyingine ya kutawala mpaka mwaka huu 2020. Anapotokea mgombea wa upinzani akataka kuwaamsha watanzania kutoka kwenye slumber, ni lazima bwana mkubwa huyu awe mkali.
  • Mgombea wa CCM anaelewa kwamba hata kwenye uchaguzi huu atashindwa na ni lazima Tume imbebe tena. Sasa wapinzani wanapo eleza watu kwamba lazima tukatae dhuruma hiyo, ni sababu nyingine ya bwana mkubwa huyu kuchukia.
Wapinzani na Wananchi
Vyama vya upinzani na wananchi wenye akili timamu ni wajibu wao kuelelewa kwamba kauli ya kutaka kuwaamsha wananchi toka kwenye usingizi wa pono, lazima imchukize bwana mkubwa huyu. Wasitegemee kwamba ataacha kutoa vitisho. Vitisho hivi nivya kishetani na maandiko matakatifu yanasema kwamba shetani ni kama simba aungurumaye.

Hata hivyo, wananchi wenye akili timamu wanatambua kwamba japo shetani ni kama simba aungurumaye, lakini shetani siyo simba. Hivyo basi, wenye akili timamu tusitishwe na vitisho hivyo. Lazima kwa pamoja tuungane tumtoe huyu mtesi wetu.
 
CCM Ina machinery nyingi za kuwalinda na kuhalalisha vitu vyao mfano dola
 
Yaani kinyago tukichonge wenyewe halafu kitutishe!! Dawa ni moja tu; kukichoma moto.
 
Mahutu ndio yalivyo hiyo ndio tabii Yao mkuu.
IMG_20200907_224714.jpg
 
Mgombea urais wa chama cha Chadema na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo wanaposema kwamba iwapo Tume ya Uchaguzi itapindisha haki kama inavyo fanyaga miaka yote, basi wataingiza watu barabarani, ni lazima mgombea wa CCM atoe kauli za vitisho.

Kwanini ni lazima mgombea wa CCM atoe kauli za vitisho?

Ni kwa sababu, zifuatazo;
  • Mgombea wa CCM anaelewa kwamba CCM ipo madarakani mpaka leo kwa sababu ya uoga wa watanzania, maana kama watanzania wangekataa uonevu waliofanyiwa na Tume ya Uchaguzi mwaka 2015, basi CCM na mgombea wake wasinge pata nafasi nyingine ya kutawala mpaka mwaka huu 2020. Anapotokea mgombea wa upinzani akataka kuwaamsha watanzania kutoka kwenye slumber, ni lazima bwana mkubwa huyu awe mkali.
  • Mgombea wa CCM anaelewa kwamba hata kwenye uchaguzi huu atashindwa na ni lazima Tume imbebe tena. Sasa wapinzani wanapo eleza watu kwamba lazima tukatae dhuruma hiyo, ni sababu nyingine ya bwana mkubwa huyu kuchukia.
Wapinzani na Wananchi
Vyama vya upinzani na wananchi wenye akili timamu ni wajibu wao kuelelewa kwamba kauli ya kutaka kuwaamsha wananchi toka kwenye usingizi wa pono, lazima imchukize bwana mkubwa huyu. Wasitegemee kwamba ataacha kutoa vitisho. Vitisho hivi nivya kishetani na maandiko matakatifu yanasema kwamba shetani ni kama simba aungurumaye.

Hata hivyo, wananchi wenye akili timamu wanatambua kwamba japo shetani ni kama simba aungurumaye, lakini shetani siyo simba. Hivyo basi, wenye akili timamu tusitishwe na vitisho hivyo. Lazima kwa pamoja tuungane tumtoe huyu mtesi wetu.
KWANI NI LAZIMA MGOMBEA WA CHADEMA KUWATUKANA WATUMISHI WA UMA NA KUWAITA NI TAKATAKA ZA JALALANI?
 
Back
Top Bottom