Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,550
Matatizo huanza kwa sababu ya kuoa ama kuolewa, mkiwa mmesha-confirm kuishi pamoja ndani ya himaya moja.
Laiti kama kila mtu angekuwa anaishi kivyake, hata baada ya kuzaa sidhani kama mambo ya wivu yangekuwepo, sidhani kama watu wangepigana hata risasi.
Kulea watoto siyo shida hata mkiwa kila mtu na kwake. Wewe upo Mwanza na mtoto, mimi nipo Dar e Salaam, nikitaka kuonana na mtoto namuona, vivyo hivyo yeye au wewe!
Sioni haja ya kuishi ndani pamoja kama mke na mume.
Hasara ni kubwa kuliko faida.