Ni lazima kiwe kinanihusu?

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,189
Mamboz ma great thinkers? Hivi,
Nikiweka post inayohusu eg mapenzi ni lazima hicho ninachoongelea kiwe kinanihusu mimi?
Cann't i say something on behalf of someone?
Halafu, tunatakiwa kuchangia hoja na mtoa hoja au tunachangia hoja tu.
Naombeni kueleweshwa jamani, sina muda mrefu kwenye huu mkeka.
 
Karibu kitandani huo mkeka Mmmhhh utaumiza mgongo! Nadhani waweza posti chochote bila kuoffend kiumbe mwingine!
 
Back
Top Bottom