Ni LAZIMA Kamanda Kamuhanda naye apande kizimbani...

waliomtuma kamuhunda ndio wanazuia asishitakiwe kwa maana uenda akawaumbua wahusika, kamati hii haina
mamlaka yeyote. kama kamati hii ingekuwa na nguvu kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumsimamisha kazi
RPC ili kupisha uchunguzi kwa maana ofisi ile anayokalia ni sehemu ya uchunguzi.
 
Back
Top Bottom