Ni kweli?

Kafuta

Senior Member
Oct 15, 2010
119
29
Tafadhal mnijuze wajuzi wa mambo..kuna wimbo sipendi kuusikia..baadhi ya mistari inasema eti..wahenga walisema kuchapiwa ni siri ya ndani..je ni kwel walisema au kwa sababu hawapo.?wanasingiziwa?kama walisema walikusudia nn?
 
Ni "wazee wa zamani" siyo "wahenga"....
Hivyo inawezekana ni kweli walisema, labda Babu zake walimwambia hivyo.... who knows!
 
Back
Top Bottom