Ni kweli?

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
Mambo wana JF?
Kuna jamaa ameniambia leo kwamba haiwezekani mke wa mtu kuachana na boyfriend wake wa mwanzo kabla ya kuolewa na hasa kama hawakua na ugomvi, kwamba jamaa anaweza kuenjoy nae anytime akitaka ingawa sasa ameolewa, hii imekaaje? Maana wengine tumeoa.
 
Hayo mkuu yaache hayatokusaidia kwa lolote mdaa ungeutumia kujua mbinu za kumplease mpenzi wako ingelipa zaidi tofauti na hayo mengine!
 
Mambo wana JF?
Kuna jamaa ameniambia leo kwamba haiwezekani mke wa mtu kuachana na boyfriend wake wa mwanzo kabla ya kuolewa na hasa kama hawakua na ugomvi, kwamba jamaa anaweza kuenjoy nae anytime akitaka ingawa sasa ameolewa, hii imekaaje? Maana wengine tumeoa.
Hiyo ni kweli... Kwani wewe huna ambaye ulikuwa naye kabla hujaowa..??? Unajisikiaje ukikutana naye njiani..???
 
Mambo wana JF?
Kuna jamaa ameniambia leo kwamba haiwezekani mke wa mtu kuachana na boyfriend wake wa mwanzo kabla ya kuolewa na hasa kama hawakua na ugomvi, kwamba jamaa anaweza kuenjoy nae anytime akitaka ingawa sasa ameolewa, hii imekaaje? Maana wengine tumeoa.

yaliyosirini yaache huko huko, we pekua pekua tu ulipoteze tabasamu lako
 
Sio Kweli wanawake wanawathamini wanao waoa na huwachukia waliowachezea na kuwapotezea muda.
 
Mambo wana JF?
Kuna jamaa ameniambia leo kwamba haiwezekani mke wa mtu kuachana na boyfriend wake wa mwanzo kabla ya kuolewa na hasa kama hawakua na ugomvi, kwamba jamaa anaweza kuenjoy nae anytime akitaka ingawa sasa ameolewa, hii imekaaje? Maana wengine tumeoa.

Hii ni kweli kwa wale hawamuheshimu Mungu. Ukishatubu dhambi huruhusiwi kuirudia tena.
 
Hiyo isikuogepeshe wew muhimu upo kwenye ndoa fanya yanayokupasa, huyo wa zamani itategemea na tabia ya huyo mwenzako, kama ni mshenzi mshenzi basi itakua hivyo
 
Back
Top Bottom