Ni kweli wanawake wapo wengi kuliko wanaume?

unafahamu Kuwa Quruan inasema tuoe hata wanawake 3 sisi wanaume.
ilijua wanawake watakuwa wengi .
mfano nenda hospitali angalia idadi ya watoto wanaozaliwa 100 -wakike ,29 -wakiume tena hiyo ni siku moja
Hizo ni propaganda zingatia takwimu world bank report world population 2019 men 50.4% women 49.6%
 
mfano wa kwanza nenda sehemu ziazokutanisha watu wengi ukaone kati ya wanawake na wanaume wapi wengi mfano mavyuoni, makanisani ,kwenye masoko makubwa kama kariako ,kweny mapantoni kama kigamboni ,afu fanya observation research uone kati ya wanawake na wanaume wapi unaowaona wengi idadi kubwa ya utakaokua unawona ni wanawake ila kama upo Kijiji huwezi ona kama wanawake ni wengi
Viwanja vya mpira mbona hutaji
 
Mkuu ishu sio kuwa wanawake ni wengi Shida wanawake wote wanashobekea asilimia 30% ya wanaume ya jamii husika ambao wanaume hao ni kuanzia wenye uchumi WA kati na kuenda juu na pia wenye mwonekano WA mzuri yani mahandsome wanaume hao ndio wanaume wanaokuta shobo nyingi za wanawake ila kama hauna uchumi angalau wakujimudu binafsi na muonekano mzuri wala ushawishi wowote WA kijamii ni ngumu sana sana kushobokewa na mwanamke yani kiufupi unakuwa invisible kwao ndio kama hivo inakubidi utumie nguvu nyingi kuwapata na ukiona demu akushobokea ujue unasifa hata moja hapo juu

Mkuu kiufupi wanawake ni wengi kuliko wanaume ila Shida wanawake haohao wanabanana kwa wanaume wenye sifa hapo juu ambao kimsingi ni wachache ndio maana unaona kama vile special sana
Almost tuko sawa according to sensa
 
Tupo sawa sema wanaume tumegawanyika sehemu ambazo ni nje ya maisha ya kawaida kama gerezani kwenye vita na wengine hatuna hela kwa hyo wanabaki wachache wanaoweza kuwahudumia wanawake ndio maana wanajiona wapo wengi.
Uko sawa hata takwimu zinasema hivyo
 
Kwa ratio ya vizazi tu kwenye ukoo wetu this time kila bro kapata mtoto wa kike yani plus wadogo zangu.

Everybody has a girl child kwa mwaka jana mpaka sasa kuna visichana kama 7 vimezaliwa no boy child.
But kwa takwimu za sensa almost we are the same
 
Back
Top Bottom