Tetesi: Ni kweli Walimu Lushoto hakuna likizo?

jini makata

Member
Jun 7, 2017
66
34
Jamani nimesikia habari kwa baadhi ya walimu wa Lushoto mara hii mkurugenzi wa wilaya hiyo amezuia likizo na walimu wanaendelea kufundisha kama kawaida mpaka Tar 23/6/2017 ndio wafunge na watafungua kama tar 3/7/2017 kama mashule na ratiba ya taifa inavyosema.
 
Jamani nimesikia habari kwa baadhi ya walimu wa lushoto mara hii mkurugenzi wa wilaya hiyo amezuia likizo na walimu wanaendelea kufundisha kama kawaida mpaka tar 23/6/2017 ndio wafunge na watafungua kama tar 3/6/2017 kama mashule na ratiba ya taifa inavyosema.
Eti mkurugenzi anasema mpaka wamalize syllabus..
 
Sasa Kama hamjamaliza mnataka kwenda wapi?hii kada hii ovyo sana,sijui kwa kua wanawake ni wengi?yaani badala ya kuja kulalamika huku ungekaa na walimu wenzako Mtoe msimamo wenu,kila kitu mpaka mfundishwe?
 
Jamani nimesikia habari kwa baadhi ya walimu wa lushoto mara hii mkurugenzi wa wilaya hiyo amezuia likizo na walimu wanaendelea kufundisha kama kawaida mpaka tar 23/6/2017 ndio wafunge na watafungua kama tar 3/7/2017 kama mashule na ratiba ya taifa inavyosema.
hata mwanza is the same thing ndugu... walimu wana shida sana....... nn maana ya likizo na wanafunzi wenyewe ndo hao hata hawana mood ya kusoma ni kama wanalazimishwa tu kubaki shule wakt wa likizo
 
mwanza gani ulipo wewe!? acheni uongo mwanza walimu wanajitambua hawapendagi ujinga
 
Back
Top Bottom