ni KWeli WAKE ZA MARAIS HUWA HAWASHIKI MIMBA KIPINDI CHA UONGOZI WA MME WAKE.

Huyu JK hawezi kumjaza mimba mkewe kwani mara nyingi hayupo nchini. Kazi hiyo nayo yahitaji kutulia!!!!
 
Mkuu nchin Rwanda nadhani mwaka 2010 mke wa Rais Piere Nkurunzinza aliwahi kuonekana akifanyiwa maombi na Askofu Kakobe iliajifungue salama.Ktk tv President's wife alikuwa anaonekana dhahiri shahiri mjamzito.
 
Thandekile Matina Zuma alimzalia Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma mtoto wa 20 mwaka 2010 october.
Jacqueline Kennedy mke wa Rais wa Marekani alimzalia mtoto wa kiume anayeitwa Patrick Rais wa marekani bwana John F.Kennedy katika hospital ya Otis air force base hospital tarehe 08/08/1963. Mia
salute hao ndan ya ikulu
 
Mke wa Sarkozy kazaa mwaka huu.

Uko sawa Mwali.
Frech pres Nicolas Sarkozy.jpg
The picture was taken in Sep 2011.
French first lady Carla Bruni-Sarkozy gave birth to a baby girl on Wed 19, Oct 2011 night - the first infant born to a sitting president of modern-day France
 
Hata Rais wa dunia keshafanya vituuuzzzzzzz!
WASHINGTON - The White House announced that Michelle Obama is pregnant with the couple's third child.
"Michelle Obama is pregnant," White House sources said. White House Press Secretary, Jay Carney, told WWN he would not confirm or deny the rumor. But WWN has confirmed that Michelle Obama is about two months into her pregnancy and the President and First Lady expect to have the baby sometime in late May, 2012.

MICHELLE OBAMA PREGNANT!*|*Weekly World News

http://weeklyworldnews.com/politics/26881/michelle-obama-pregnant/
 
Back
Top Bottom