ni KWeli WAKE ZA MARAIS HUWA HAWASHIKI MIMBA KIPINDI CHA UONGOZI WA MME WAKE. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni KWeli WAKE ZA MARAIS HUWA HAWASHIKI MIMBA KIPINDI CHA UONGOZI WA MME WAKE.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by zubedayo_mchuzi, Jan 1, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  napenda kuuliza ni kweli kuwa kuna utaratibu unaombana Presidn kumpa ujauzito mkewa?
  Mi sijawah kuona..wala kusikia mke wa Rais fulan yu mjamzito,

  Kuna nini napenda kufahamu tu,
   
 2. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ngoja waje,watakupa jibu
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  mkuu juzi juzi wakati wa vita libya mke wa rais wa ufaransa alijifungua mtoto wa kiume na rais akaenda kumtembelea alipokua akitoka libya. Mia
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hata wake wa MADIWAN
   
 5. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kwa sababu maraisi wengi mpaka anaingia madarakani umri unakuwa umekwenda na anakuwa amesha maliza kuzaa wengi utakuta ni 50+ na waliopo chini ya hapo sana sana si chini ya 45.

  Lakini mke wa Tony blair(ingawa haitwi Raisi) alibeba ujauzito mme wake akiwa
  madarakani,ila ki ukweli alikuwa ni mtoto wa uzeeni.
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mbona mke wa Sakozi wa Ufaransa alijifugua wakati mumewe bado yuko madarakani? Au unamaanisha marais wa tanzania tu?
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wengi wao huwa washazeeka,au ulitaka na yule wa pale pembeni ya bahari nae anase????????????????
   
 8. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Bila shaka dada Zubeida amepata jibu.
   
 9. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Joseph kabla, pieere nkurunziza
   
 10. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kumbukumbu zangu zinaonyesha Madaraka Nyerere alizaliwa 1964. I stand to be corrected.
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  mke wa nicolas sarkozy bi. Carla bruni, alijifungua mtoto wa kike tarehe 20/10/2011. sema sasa hivi natumia simu ningekuwekea link ukasoma mwenyewe. Mia
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yule mke wa 3 wa j.k si anamtoto mdogo?
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Siyo kweli
   
 14. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mke wa rais wa daruso johnson selemani alijifungua wakati mumewe yupo madarakani
   
 15. B

  Bonge JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 868
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
  Mke wa cameroon wa uingereza pia amejifungua mumewe akiwa madarakani
   
 16. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Wewe ni nouumaaa
   
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  Thandekile Matina Zuma alimzalia Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma mtoto wa 20 mwaka 2010 october.
  Jacqueline Kennedy mke wa Rais wa Marekani alimzalia mtoto wa kiume anayeitwa Patrick Rais wa marekani bwana John F.Kennedy katika hospital ya Otis air force base hospital tarehe 08/08/1963. Mia
   
 18. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Maswali mengine yanaitaji kushirikisha ubongo wako kidogo.
   
 19. Atabase Agaya

  Atabase Agaya Senior Member

  #19
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  President----> The leader of a REPUBLIC, The person in charge of some organizations- clubs, colleges, The Bank, etc.
  Mkuu fafanua Rais wa aina gani hapo juu kwenye red ili usaidiwe.
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwa bongo rais anaongoza akiwa na miaka 50 unategema mke wake atakuwa na umri gani
  zaidi ya 45 tayari ishakuwa menapouse
  kwa marais vijana sawa nunga mkono.
   
Loading...