Ni kweli wabunge wengi na mwaziri ni wagonjwa-loliondo statistics | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli wabunge wengi na mwaziri ni wagonjwa-loliondo statistics

Discussion in 'JF Doctor' started by Technician, Jul 29, 2011.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kutokana na Muongozo wa Mh Lusinde kuwa ni wakati muafaka wa
  kuwapima wabunge wetu,kutokana na hali inayojitokeza bungeni kwa kipindi hiki
  ni wazi kuwa wabunge ni wengi ambao ni wagonjwa na wengi walishaenda
  kwa Babu Loliondo kunywa kikombe lakini bado wanaonekana wanasinzia
  bungeni.
  Naunga mkono hoja wabunge wote na mwaziri wapimwe afya zao kabla
  hatujashuhudia ngumi mjengoni na wakaumia wagonjwa bila sababu.


  Nawasilisha;

   
Loading...