Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,862
Mi napenda tu tunavyo farijiana though sio kwa fact, lazima kuna kitu hakipo sawa kwetu weusi; hapo kwenye Bold, hivi UCHANGA wa weusi unatakiwa kwenda hadi miaka mingapi? Ghana imepata uhuru mwaka 1957 na Misri imepata uhuru mwaka gani? Hivi je, kati ya Misri na Ghana wapi kuna maisha mazuri!? Halafu hapo kwenye underline, hayo matreni ya Ethiopia nani kayatengeneza!? Si tunanunua kila kitu kwa hao hao weupe so siwezi isifia Ethiopia kwasababu ya kununua vitu toka kwa weupe halafu nije niseme wao wana akili, Laa, but again nchi kama Ethiopia, hi ndio kabisa haikutawaliwa so kama kigezo kingekua kutawaliwa ndio umasikini wa weusi then Ethiopia could be very far kulinganisha nchi nyingine za Kiafrika; hapo kwenye italic ndio sijaelewa kabisa, kwanini weusi tulikua jamii ya watu wenye hali za chini sana ili hali wote, weupe kwa weusi tulikuwepo duniani toka dahari na dahari!!!!? There is something wrong with we blacks, hata kama tukikataa ni kujifariji tu na kuamua kujidanganya tu wenyewe, we need to work up.Yaaani mzungu akiongea pumba unamsapoti. Waafrika tuna mapungufu yetu lakini tukumbuke nchi zetu bado ni changa ila tutafika tu kwenye maendeleo. Ethiopia miaka ya tisini ilikumbwa vita na njaa dunia nzima ililia ila leo ina hadi matreni ya umeme kama ulaya. Tusijilinganishe na China na India hizo nchii zina maendeleo kwa muda mrefu kabla hata hazijatawaliwa na wakoloni. Ni falme za kale sana za dunia hii. Hizo nchi za kusini mwa afrika zilikua na uchumi mkubwa ila sio jumuishi bali umeshikwa na wazungu. Waafrika walikua watu wa chini sana hawakunufaika. Mwaka huu katika nchi kumi zinazokua uchumi kwa kasi karibia nusu zinatoka Afrika.