Ni kweli vitambulisho vya taifa (NIDA) vimetoka kwa wale tuliopata namba?

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Habari zenu wakuu?

Samahani, jana nikiwa dukani kwa mangi niliwasikia watu wakizungumzia suala la vitambulisho vya taifa kuwa vimeshatolewa tayari kwa wale tuliokua tumepatiwa namba pekee.

Nimekuja kupata uthibitisho huku kama hili suala ni kweli ili ikibidi jumatatu nikafuatilie kitambulisho changu.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom