Ni kweli utumishi wamwaga maia ya kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli utumishi wamwaga maia ya kazi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mayu, Oct 18, 2010.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  wadau mwenye uhakika na hili tunaomba mtupe link au mtumwagie hizo nafasi hapa jukwaani na sisi tulio porini tujaribu nafasi hizo
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  yes nimeona ktk gazeti la mwananchi, hebu jaribu kufungua web ya www.utumishi.go.tz naona ipo bize, keep on trying
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ni kweli iko bize sana, nimejaribu na haifunguki
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,483
  Likes Received: 5,719
  Trophy Points: 280

  ukiona hivyo ujue zishajaaa huko mlipoona ni kupitia principle zaajira usikate tamaa lakini yesu yu pamoja na si
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Amina.
  lakini mkuu tusije tukafungiwa kutaja hili Jina Kuu kuliko majina yote.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,483
  Likes Received: 5,719
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu lazima wajue atutegemei wajomba kama wengine kupata kazi yupo mkuu mmoja huyo ukitaka lolote anatoa lazima wamjue wamheshimu karibu mpendwa..
   
 7. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
Loading...