Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Wanajuana sababu Wana tabia zilizofanana. Wengi ni wakimya, Kuna vigezo vingine wanavyo pia Kama physique na vingine.

Wakikutana walitaka kukutana Wana code zao ambazo wenyewe kwa wenyewe wanazijua. Kwa bongo hawawezi kufuga ndevu, kunywa pombe kupiga kiasi, kuropokaropoka.

Nadhani pia waliyoingia intake moja wanafahamiana lakini Kama hawakuwa mafunzoni pamoja so rahisi kufahamiana. Mfano Toss aliyekuwa attached Kwa mkuu wa wilaya hawezi kumjua Tiss aliyekuwa labda Sabasaba Tantrade mpaka wajitambulishe kwa namba or sort of a code

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi ,weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!

Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wanausalama /TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa !

Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi , unafanya nini !

Hawaaminiani , hawajuani kivile !

Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekaa wap m nko restaurant hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wakijuana na kutengeneza mtandao usalama utakuwepo kweli? Lazima wasijuane! Na kila mtu
anareport kwa bosi wake mmoja na anapokea maelekezo kutoka chanzo kimoja! Kwenye utendaji wanaweza
kujuana lakini wachache sana labda 2
au 3 na tena ujui nani anamchunguza
nani? Tena unakuta mwingine kazi yake
ni kuchunguza mienendo ya mwenziwe na kureport basi! Hata hivyo kwa ngazi
za chini maslahi hakuna na unatakiwa
huwe mzalendo na kujitolea kwasaana!
Ngazi za juu familia yako inaweza kutumiwa kukuwajibisha kama
utazingua na unakuwa unajua hilo! Kwa
ufupi sio kazi nzuri kama watu wanavyodhani! Sikushauri!

Mulemule mzee big up...niliwahi kutumika bila mwenyewe kujua katika haya mambo...nilipokuwa chuo nilikua na mahusiano na binti mmoja kumbe bhn ni MTU wa kitengo na nilikuja kujua mwaka wa pili wa masomo,na ana bosi wake kabisa ambaye ndio huwa anampa maelekezo siku moja nkamwambia natamani sana na Mimi nifanye kazi hii akanambia sikushauri ni kazi inayohitaji uzalendo na ni ngumu sana hasa kwa watu wa level za chini kama alivyokuwa yeye na akanambia pale chuo wapo wengi tu na huwezi kuamini wengine..sasa siku moja akanikutanisha na bosi wake bila kujua bosi akanitumia katika shughuli za nchi huku nikiwa sijui nilikuja kujua mwaka wa mwisho kabisa kazi ikiwa imeisha nilichoka...
 
Wanabodi ,weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!

Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wanausalama /TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa !

Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi , unafanya nini !

Hawaaminiani , hawajuani kivile !

Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli tunafundishwa kutokuaminiana maana mtu unayemuamini anaweza kukuchoma muda wowote.
 
Wanabodi ,weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!

Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wanausalama /TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa !

Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi , unafanya nini !

Hawaaminiani , hawajuani kivile !

Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa umetumwa uje ufanye uchunguzi juu hili kwa akina sie 'miangu nene nzala tee' kama tunafamu kuwa wazee wa k. Nyama wanajuana au la.. wanajuana kwenye majukumu au la! Wadau washakujibu mkuu TISS kilichobaki we peleka ripoti ofisini
 
Hata Kama Siyajui haya mambo Lakini kwa logic ya kawaida kabisa.
Kama wanaenda kozi wataachaje kufahamiana walioenda kozi intake Moja?
Kama wanaofisi wataachaje kufahamiana walio ofisi Moja?
Kama kuna kazi wanazifanya kwapamoja wataachaje kufahamiana?
Ninavyoona Itakua kuna watu wnaopewa majukumu maalumu na hivyo kutofahamika kwa urahisi, pia baadhi ya undercover kutokana na unyeti wa kazi zao huenda hawafahamiki.
Utaachaje kumjua DSO au RSO na watu wake kwenye ofisi husika na kila majukumu wanaonekana na Watu wanafanya nao kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom