Ni Kweli "Tiles" zinazotengenezwa hapa Tanzania hazina square?

Ukiweka tiles nyumba nyingi ambazo zimejengwa enzi za mkoloni, kama tiles hizo siyo pieces kubwa, huwa zina fit na kama hazifit, huwezi kuona tile yoyote ambayo haipo straight. Na kama zipo zimekatwa basi zote pembezoni zitakuwa na shape ileile.

Neno linaloleta maana nzima ya mada ni "kupishana". Kwanini zipishane kama chumba kipo straight kila corner?

Mimi siyo mjenzi ila nimegundua hili nilipojengewa na fundi wa mtaani. Tiles ilibidi zichongwe na nilipouliza wataalam wa ujenzi, hilo ndio jibu nililopewa na kwangu lilileta maana.

Jaribu siku moja kuweka tiles nyumba za mkoloni, mfano zile za chang'ombe uhindini.
Sio kweli mkuu tails za 400x400 ndozinatatizo ila 600x600 ziko vizuri
 
Tiles za bongo hazina square..ukitaka tiles nzuri na affordable cheki za india..wenzetu suala la quality control ya bidhaa ipo juu..spain is the best ila bei kidogo imechangamka zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom